Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

Hivi usa hawajamtumia huyo binti Suluhu salamu za muungano?
 
Putin hana muda mchafu huo wa kuandika,huo ujumbe umeandikwa na watu wa ubalozi wa Russia Uliopo hapa Tanzania
 
Ili jina la putini likitamkwa kila mtu anajipapasa kama kakosea wapi anzia mzungu
Kazi ya MUNGU ni kutoa hukumu kwa wanazi ( waukrain wanaosurpotiwa na western ....). Sisi kazi yetu ni kuwapekeka kwa mungu ( Putin, 2022)
 
Back
Top Bottom