Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
ndio wajue hana mpango wakumaliza vita, na huenda akatangaza vita kamili.Ha ha ha! Nilitegemea angewapelekea huko huko kama alivyokuwa anajitapa kumbe hola! Kwa mikwara Putin kamzidi hadi Saddam.
Made in china yupo kimiya Sana, hahahaha hahahaha asithubutu kumpa silaha Russia lasivyo uchumi unadondoka fasta kabisa
unataka atekeleze vipi!? Kwamba muda huuhuu anaozozana na Ukraine aivamie pia Uingereza,Ufaransa,Ujerumani na hata Marekani!?Lakini Putin aliyajua haya yote,alijua anakwenda kulipiga Taifa dhaifu kijeshi kuliko yeye,na Ukraine kusaidiwa alilijua mapema tu ndiyo maana akatoa lile onyo,sasa tunachoshangaa kwa nini asitekeleze kwa vitendo lile onyo lake kwa watakaomsaidia Ukraine?
Daaaaah!PUMZI IMEKATA huyo.analia lia tu.
vita kaanzisha yeye alafu anataka wenzie wasisaidiwe yaani amuonee mwenzie watu wakae kimya
kwa hiyo tunachokiona Ukraine ni advatise au sio!?Hii vita haitaweza kuisha kirahisi.
Ukiichunguza kwa undani, kuna mataifa mawili makubwa hasim yanatafutana, labda muda tu.
US anamtafuta Russia, na Russia anaitafuta US, na mbabe kati ya hawa ndiye atakaye unda dola la NWO.
Sijajua inakaajeKama anajua kuna watu wana supply silaha mbona hajawaonyesha cha moto?
au kusupply silaha siyo kuingilia vita?
Ona hii takataka nayo!Naona kama vile putin mwisho wake utakuwa kama mike Tyson baada ya kupigwa Evander Holly Field,
Baada ya lile pambano hata mabondia waliondoa woga wakaanza kuomba mchezo.
Urusi ilikuwa inaogopeka duniani ila kwa sasa kajishushia heshima.
Mkuu operation ni ngumu zaidi kuliko vita kamili, kwasababu operation unapiga maeneo maalum lakini vita unabutua tu Kila kilichopo mbele yako, ndani ya muda mfupi wa mapambano nchi nzima inaweza kuonekana Kama ufukwe wa bahari...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oparesheni miezi miwili sasa vita si atapigana miaka 20 asee hata akishinda atakuwa amechoka balaa. jamaa ye mwenyewe anamalizia malizia pumzi za mwisho kifo ni kwa kila mtu ila wazee ni kipaumbele .....
.Putin atoe majeshi yake Ukraine vita vimalizike aache uhuni nani alimwambia avamie nchi ya watu.
mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!
Daaaaah!
Kwahiyo mjomba na fuvu lako unaona kabisa kuwa Russia anaonesha dalili za kushindwa?
Kwamba tatizo mnamuwezesha msingefanya hivyo ningekua nishampiga na vita imeshaisha. So nyinyi ndiyo mnasababisha vita iwepo hadi leo.
No siyo udhaifu wa jeshi langu wala intelijensia. Tatizo ni silaha mnazompa
Mimi ata sio muumini wa movie...Movie zinakudanganya
Hawezi tena kutekeleza Onyo lake lile kwani kwa sasa anashughulika i.e yuko bussy na Usalama wa Uhai wake binafsi kwani Jeshi lake aliloliamini mno sasa haliamini tena na limegawanyika na mojawapo ya kundi hasimu dhidi yake (Legion) limeapa kumtoa Roho yake kwa udi na uvumba 😭 😭. Sasa amegeuza kibao na sio onyo tena ila anasema kama wanataka vita iishe waache kumpa silaha Ukraine. Ni Kwa nini sasa? Anafahamu fika na anajua ukweli kwamba kwa Uwezeshwaji ki-Silaha unavyoendelea sasa Ukraine, na Morale ya wa-ukraine iliyopo bado kidogo Ukraine atafika/atatinga/atatua Moscow(Kremlin) na hajui yy atauficha wapi uso wake kwa aibu kuu itokanayo na maamuzi ya kijinga aliyofanya ya Uvamizi, Majigambo na Vitisho lukuki aliyokuwa anatoa e.g. Kutoa Onyo la kibeberu, Mauaji ya kutisha ya raia aliyofanya, Bomoa-bomao ya kibabe (reckless and indiscriminate demolishing of infrastructures) n.k.Lakini Putin aliyajua haya yote,alijua anakwenda kulipiga Taifa dhaifu kijeshi kuliko yeye,na Ukraine kusaidiwa alilijua mapema tu ndiyo maana akatoa lile onyo,sasa tunachoshangaa kwa nini asitekeleze kwa vitendo lile onyo lake kwa watakaomsaidia Ukraine?
Eti bhana; Ajibu kwanza hilo ili tujue pa kuanzia😳Unampiga mwenzio kwa Sababu gani?
"...Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma! "mwandishi uliyeleta hii mada naona wachangiaji wengi hawajakuelewa.. wengi wanafikiri Putin ndo ameziomba nchi za magharibi zisitishe kutoka siraha kwa Ukraine.. kumbe Putin Alikuwa anamjibu macroni awambie ndugu zake waache Ku supply silaha ndo vita itakoma!