Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Pale alipoamuru kuondolewa kwa balozi mdogo wa Marekani Russia bwana Bart Dorman ambae alikuwa ni mtaalam wa "kupanga" mipango sahihi, alikuwa tayari anaua uwezo wa Marekani kufanya uharibifuy mkubwa.

Dorman ni jasusi mahiri ambae kuwepo kwake Moscow ilikuwa si sahihi.
 
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
Mkuu, nilisema humu katika mada zingine kwamba Russia itafanya inavyotaka na hakuna wa kumzuia.

Leo hii jamaa katangaza kutambua hayo majimbo na kinofuata ni kuingia humo na kusawazisha.

NATO, Marekani na wengine waendelee na kutayarisha vikwazo zaidi ambavyo havijasaidia chochote zaidi ya kuiiimarisha Russia kiuchumi.
 
Mkuu Russia ataimega Ukraine mpaka kiev hivi hivi kidogo kidogo
 
Wananchi wanamsupport rais wao kama hawamtaki wangeandamana kama walivyofanya kwa Viktor Yanukovych

Na hayo majimbo Putin anayoyatambua Leo tokea 2014 serekali ya Ukraine ilishajitoa
Mkuu lini UKRAINE alijiondoa DONETSKI??
 
Mkuu Yugoslavia ilikwisha vipi shusha nondo kidogo nipate madini
 
Mkuu Yugoslavia ilikwisha vipi shusha nondo kidogo nipate madini
Unajua Ukraine, Croatia, Serbia, Montonegro na Kosovo hazikuwepo, hizi zote zilikua Yugoslavia wakati huo, wanapiga mpira wa hatari. Marekani akafanya uhuni wakajitenga tenga kila mmoja, unajua Kosovo ni nchi inayotambuliwa na Russia peke yake tu, dunia bado haiitambui kama nchi?
 
EU wanatakiwa wakatae kucheza ngoma ya USA .USA alipoitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel why hawakumfanyia sanctions ?Russia na USA wanabore sana.
 
Yeye rais' wa Ukraine anashupaza shingo uku nchi ikimeguka kidogo kidogo hapa busara ni Mali kuliko ubabe
 
EU wanatakiwa wakatae kucheza ngoma ya USA .USA alipoitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel why hawakumfanyia sanctions ?Russia na USA wanabore sana.
Kila tatizo lina mahala pake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…