Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
- Thread starter
- #81
Pale alipoamuru kuondolewa kwa balozi mdogo wa Marekani Russia bwana Bart Dorman ambae alikuwa ni mtaalam wa "kupanga" mipango sahihi, alikuwa tayari anaua uwezo wa Marekani kufanya uharibifuy mkubwa.Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
Dorman ni jasusi mahiri ambae kuwepo kwake Moscow ilikuwa si sahihi.