Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
Pale alipoamuru kuondolewa kwa balozi mdogo wa Marekani Russia bwana Bart Dorman ambae alikuwa ni mtaalam wa "kupanga" mipango sahihi, alikuwa tayari anaua uwezo wa Marekani kufanya uharibifuy mkubwa.

Dorman ni jasusi mahiri ambae kuwepo kwake Moscow ilikuwa si sahihi.
 
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
Mkuu, nilisema humu katika mada zingine kwamba Russia itafanya inavyotaka na hakuna wa kumzuia.

Leo hii jamaa katangaza kutambua hayo majimbo na kinofuata ni kuingia humo na kusawazisha.

NATO, Marekani na wengine waendelee na kutayarisha vikwazo zaidi ambavyo havijasaidia chochote zaidi ya kuiiimarisha Russia kiuchumi.
 
Mkuu, nilisema humu katika mada zingine kwamba Russia itafanya inavyotaka na hakuna wa kumzuia.

Leo hii jamaa katangaza kutambua hayo majimbo na kinofuata ni kuingia humo na kusawazisha.

NATO, Marekani na wengine waendelee na kutayaqrisha vikwazo zaidi ambavyo havijasaidia chochote zaidi ya kuiiimarisha Russia kiuchumi.
Mkuu Russia ataimega Ukraine mpaka kiev hivi hivi kidogo kidogo
 
Maana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama Yugoslavia
Mkuu Yugoslavia ilikwisha vipi shusha nondo kidogo nipate madini
 
img_1_1645016689382.jpg
ndio maana wamarekani walikimbia ukrein hapo fast sana
 
Mkuu Yugoslavia ilikwisha vipi shusha nondo kidogo nipate madini
Unajua Ukraine, Croatia, Serbia, Montonegro na Kosovo hazikuwepo, hizi zote zilikua Yugoslavia wakati huo, wanapiga mpira wa hatari. Marekani akafanya uhuni wakajitenga tenga kila mmoja, unajua Kosovo ni nchi inayotambuliwa na Russia peke yake tu, dunia bado haiitambui kama nchi?
 
Mkuu, nilisema humu katika mada zingine kwamba Russia itafanya inavyotaka na hakuna wa kumzuia.

Leo hii jamaa katangaza kutambua hayo majimbo na kinofuata ni kuingia humo na kusawazisha.

NATO, Marekani na wengine waendelee na kutayaqrisha vikwazo zaidi ambavyo havijasaidia chochote zaidi ya kuiiimarisha Russia kiuchumi.
EU wanatakiwa wakatae kucheza ngoma ya USA .USA alipoitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel why hawakumfanyia sanctions ?Russia na USA wanabore sana.
 
Akili za putin anazijua mwenyewe.. [emoji23], hapa Ukraine lazima atulize akili akifanya mzaha nchi yake itabaki magofu, wahuni watajaribia zana zao kwao, toka awali nilisema, russia ataingia donbass kwa kivezo cha kulinda watu wake, hivyo hata kama ni marekani kupigana nae hawatopiga kule urusi ila vita itapiganwa hapo hapo kwa ukraine,watu wapimane ubavu, na wakilegea hii donbass ikaenda basi wajue huku mbele mpaka kiev itasombwa.
Yeye rais' wa Ukraine anashupaza shingo uku nchi ikimeguka kidogo kidogo hapa busara ni Mali kuliko ubabe
 
EU wanatakiwa wakatae kucheza ngoma ya USA .USA alipoitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel why hawakumfanyia sanctions ?Russia na USA wanabore sana.
Kila tatizo lina mahala pake.
 
Back
Top Bottom