Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Mnatuambia Binadamu wa kale alivumbuliwa Olduvai Gorge, ndo huyo Adam na mkewe Eva waliishi hapo Olduvai Gorge?
 
Hao hao akina Leaky waligundua pia Mabaki waliyoyaita Ramapithecus kule kwenye kisiwa Cha Rusinga Kenya na Kenyapithecus pale Fort Tenan,hao nao wanahusishwa na Zamadamu.Kuna Lucy Yuko Hadar Ethiopia anatajwa kuishi miaka milioni 3 iliyopita.Kuna Australopithecus Africanus aliyepatikana Aung Afrika kusini 1924.Zinjanthropus boisei wa Oldupai hakuwa wa kwanza na hakuwa peke yake.Hivyo hayo ya Ruto yasikutishe kabisa.
 
Back
Top Bottom