butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Hapo ndipo tunakwama Mkuu!Kuna fursa kubwa sana Tanzania kila pembe, lakini "wasomi" wetu waliopo serikalini utafikiri misukule, hawana ubunifu kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo tunakwama Mkuu!Kuna fursa kubwa sana Tanzania kila pembe, lakini "wasomi" wetu waliopo serikalini utafikiri misukule, hawana ubunifu kabisa.
Hiyo Olduvai Gorge ni kwa mujibu wa vitabu vya historia ya nchi yako. Labda useme Tanzania wana haki miliki ya mtu wa kale kuanzia hapa duniani. Ndio maana nakuuliza kama hivyo vitabu sio vilikuwa vinakupotosha, mwarabu na mzungu walianzia wapi na lini?Hilo usemalo lipo, lakini nipo kwenye kigezo alichotumia Ruto cha ""cradle. Of human kind", hakuns palipoitwa hivyo isipokuwa Olduvai Gorge, fuvu la kale, kwa Afrika Mashariki, tunalo sisi National Museum (kama wajinga wajaliuza bado).
Mama anaupiga Kimataifa.
Manaki usemayo ni vipande vya nyani, vilikuwa dissed na ma anthropologist wabobezi.Shi
Mary na Louis Leakey kweli waligundua mabaki ya kwanza ya Homo Habilis lakini baada yao yako mabaki mengine yamepatikana Ileret, ziwa Turkana lililopo Kenya. Shida ni kuwa mnadhani Zinjathropus alikuwa ndio Adam wa kwenye maandiko wakati kinachojulikana ni kuwa evolution iliendelea katika sehemu kubwa ya Afrika Mashariki. Na tukumbuke kuwa miaka milioni 2 iliyopita hapakuwa na nchi ya Kenya au Tanzania. Kwa hiyo ni sahihi zaidi kusema chimbuko la binadamu lilikuwa Afrika Mashariki badala ya kukazania lilikuwa sehemu fulani Kenya au Tanzania.
Amandla...
Inabidi vijana tuwape. Mbinu za kutumia hizi fursa kibinafsi.Hapo ndipo tunakwama Mkuu!
Dah!Mtu mzima kama wewe kupost ujinga kama Huu JF ni kujidhalilisha. Stori zenyewe za kuungaunga.
Haya nayo bado ni ya kuyataja kuwakoga watu juu yake enzi hizi?Nenda utani uchungulie, uone ipo haipo? unapajuwa utani?
Wakuja Dar kupajuwa utani ni muhali.
yeye mwenyewe kishatambua kuwa lengo limebuma.Unapotezea watu muda wao tu kwa mambo ya msingi.
Hilo. Mimi mbona ndiye nnaelifufua kila siku ili watu wasizisahau fursa tulizoletewa.Dah!
Bila shaka atakuwa ameelewa.
Lengo la kuwasahaulisha waTanzania swala la Bandari haliwezekani kabisa.
Nafahamu sana mambo kama haya yanataka vichwa vilivyotulizana vyenye kuona miaka 30 mbele, kama Ruto, siyo vyenye stress kama wewe.Unapotezea watu muda wao tu kwa mambo ya msingi.
Kwani utani imehama? Na wapi bandari ya Dar unaweza kuiona vizuri zaidi bila kuingia ndani kama siyo utani? Labda upande floor ya nane Kilimanjaro Kempinski, zikutoke.Haya nayo bado ni ya kuyataja kuwakoga watu juu yake enzi hizi?
Mipaka si waliiweka wazungu, tunaowaona wa maana, walipogawana sfrika kama keki ya basiidei juu ya meza "divide and rule".Ukiwa nje, Afrika mashariki inakuwa kama nchi moja
binafsi, lile fuvu la sokwe la mtu wa kale, bora lionekane halipo Tanzania, wacha tu wakenya wachukue, kwasababu ni uongo na ushetani. tangu awali wanadamu wameumbwa hivi hivi tulivyo, hatukuwa sokwe namna ile, hata mambo ya olduvai gauge ni ushetani uliopandikizwa ambao hautakiwi kuendelea kufundishwa kwa watoto wetu mashuleni. kwahiyo faiza fox, tuliza tu mshono, wengi wetu hatupendi kuungana na watu wa imani hiyo ya olduvaiKwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Tena akomae kwelikweli.Wewe inakuuma nini ilhali hilo chimbuko la mtu wa kale halipo Zanzibar?! Singida na Manyara wapi na wapi na huko Makunduchi?
Au nalo mnataka kuwapa waarabu?!!!!
Tunataka bandari yetu na koma kututoa kwenye mstari.
Chimbuko la binadamu ni Ethiopia na alipewa jina la bandia LUCY.Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Mimi nalala nikiomba Mama auzee Vivuko vyote vya TEMESA kwa Waarabu kuanzia na kile cha pale Ferry-Kigamboni,kina maudhi, Mara mashine zina feli,Mara kadirisha kamoja ka kujazia pesa kwenye kadi! Yaani mradi shida tupu!!!Kama tumeuzia watu bandari kwasababu hawawezi kuendesha,tuwauzie Olduvai Gorge waKenya maana wao wanaweza kuitangaza. Au mnasemaje? Tuko kwenye biashara ya kuuza uza
Duh! Watu mnahasira sana na Bandari yenu! Kosa lenu la kwanza mlipo iuwa team ya Bandari Daraja la kwanza! Sasa Wajanja wamepita na Bandari yenyewe!![emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe inakuuma nini ilhali hilo chimbuko la mtu wa kale halipo Zanzibar?! Singida na Manyara wapi na wapi na huko Makunduchi?
Au nalo mnataka kuwapa waarabu?!!!!
Tunataka bandari yetu na koma kututoa kwenye mstari.
Inawezekana, mimi naongelea palipoitwa na ma anthropologists "cradle of human kind" ni Olduvai Gorge.Chimbuko la binadamu ni Ethiopia na alipewa jina la bandia LUCY.