Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya haiwezi kuipa Tanzania free promo na hawatakaa wafanye hivyo! Hata Sisi tumewahi kutamka kwamba "Kenya is a man eat man society Wala hatujawahi kuwapa credit kwamba Kenya is the largest economy in EA!Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.
Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Uko ouy dated sana wewe bibi' kwa akili zako unaona kakosea? Yeye sio mjinga narudia tena uko over out dated na habari za DuniaKwa jina la Jamhuri ya Tanzania.

Yuko sawaKwa kuwa hajaitaja Olduvai na kusema iko Kenya Sina tatizo naye.
Pia knowledge ni dynamic sana una hakika hakuna tafiti za karibuni zimegundua sehemu huko Kenya ambapo mtu wa kale aliishi miaka mingi kabla wa huyu wa Olduvai? Tafiti kwanza huyo jamaa ana ground ya hiyo hoja yake.
Mleata maada yuko out dated sanaHizi historia zina ukakasi na hivyo kila mmoja atavutia upande wake.
Kuna mifupa ya mtu pia iligunduliwa Turkana, Kenya. Inayosadikika kuwa ndiyo ya watu wa kwanza kuishi.
Hivyo, kila mmoja kwa wakati wake atavutia upande wake. Hajafanya kosa lolote. Kila mtu aishereheshe nchi yake kwa wakati wake.
Nilidhani amesema Kilimanjaro, kumbe mambo ya mtu wa kale? Kuna nadharia kibao sana. Hata Ethiopia pia, kuna madai ya uvumbuzi ya mtu wa kale.
Tanzania kuna fuvu, Kenya kuna mifupa.
Bandari imewashinda wamewapa waarabu waiendeshe millele, tumepiga kelele wametudharau la fuvu ndo wanataka tuwasaidie kupiga ili iweje? Upuuzi mtupu.Wameanza maigizo yao hawa wajinga tusahau kuhusu bandari yetu, chimbuko linafaida gani kwangu?
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.
Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
view nzuri ya Mlima Kilimanjaro iko upande wa Kenya Ambosel, au eneo wanaita Loitoktok, kule ndio unaipta viewa ya kipekee,Nilikuta bango kubwa uwanja was ndege wa Mohamed Muntali uliopo Jiji la Lagosi Nigeria,ukielekeza watali wake Kenya waone mlima Kilimanjaro.
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.
Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Ile Bodi ya Utalii TTB imelala sana,hawana mikakati ya maana ya kutangaza vivutio vyetu,ata juzi kati Professor Kabudi aliwapa darasa juu ya zile nyayo za mtu wa kale na alitaja sehemu nyingi ambazo hazitangazwi.Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.
Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Hilo usemalo lipo, lakini nipo kwenye kigezo alichotumia Ruto cha ""cradle. Of human kind", hakuns palipoitwa hivyo isipokuwa Olduvai Gorge, fuvu la kale, kwa Afrika Mashariki, tunalo sisi National Museum (kama wajinga wajaliuza bado).Siku za nyuma kabla ya kutembea sehemu kadhaa duniani nilikuwa naamini kweli mtu wa kale alitokea Tanzania. Baada ya kutembea nchi kadhaa na kusoma vitabu mbalimbali, nimegundua karibu kila nchi husema binadamu wa kale alianzia kwao.
Kama mama Faizafox unaamini mtu wa kale alianzia hapa Tanzania, waarabu, wazungu nk walitokea wapi? Jitahidi kutoanika elimu yako mbovu uliyokaririshwa hapa Tanzania.
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania.
Ndugu zangu tukemee hili Ruto.
Mara nyingi na kwa muda. mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao.
Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.
Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani.".
Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).
Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:
The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.
Soma zaidi: Olduvai Gorge •.
Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.
Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.
Nawasilisha.
FF.
Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Kuna fursa kubwa sana Tanzania kila pembe, lakini "wasomi" wetu waliopo serikalini utafikiri misukule, hawana ubunifu kabisa.Ile Bodi ya Utalii TTB imelala sana,hawana mikakati ya maana ya kutangaza vivutio vyetu,ata juzi kati Professor Kabudi aliwapa darasa juu ya zile nyayo za mtu wa kale na alitaja sehemu nyingi ambazo hazitangazwi.
Tofauti yetu sisi na Kenya kwenye Country Branding ni kwamba sisi tunapenda kupiga siasa sana wakati wenzetu siasa ni siasa na professionalism inapewa heshima yake.Wewe chunguza ata Media za Kenya na Tanzania,uangalie nchi gani wapo serious!!
IMAN YAKO SAWA NA BVRE bdo unaamani mwanadamv ni sokweNenda utani uchungulie, uone ipo haipo? unapajuwa utani?
Wakuja Dar kupajuwa utani ni muhali.