Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

Manaki usemayo ni vipande vya nyani, vilikuwa dissed na ma anthropologist wabobezi.

Imi siamni kuwa Adam ni mtu wa kwanza, Niliwahi kuchokonoa hilo kwa kuanzisha mjadala lakini sikupata challenges, upo hapa 👇🏾

Nakaribisha vhallenges 👆🏾

Mama anaupiga Kimataifa.
Homo habilis ni homo habilis. Na hawakuzaliwa na mtu mmoja bali wali evolve katika maeneo tofauti. Hawa walievolve kuwa homo erectus ambao kuna wakati walikuwepo pamoja. Kutoka homo erectus alikuja homo heidelbergensis ambae nae kwa muda aliishi na homo erectus mpaka pale homo erectus alipopotea kabisa. Kutoka homo heidelbergensis ndio tukaja homo sapiens. Homo heidelbergensis alipopotea tukabaki sisi. Mabaki ya homo heidelbergensis nayo yamepatikana Ulaya, China, Zambia n.k.

Amandla...
 
Hilo. Mimi mbona ndiye nnaelifufua kila siku ili watu wasizisahau fursa tulizoletewa.

Kama kuna mada nazipenda humu kwa sasa basi za bandari.

Na kama kuna Rais aliyefanya la maana kuhusu bandari basi hakuna kama Mama Samia.

Nafahamu Kikwete alilianzisha la Bagamoyo lakini mwendazake akaona donge. Naamini na lenyewe sasa hivi Litachipua tena kama uyoga.

Mama Samia kufunguwa lango la bahari na. Matajiri wa Dubai, elewa kuwa kafunguwa milango million moja ya fursa Tanzania, kwa wenye kuelewa tu.

Nawaambia ngojeni kama
Hamjasikia mtu ananunuwa block zima la Kariakoo au Ilala au Kinondoni anaweka vitu vya kisasa.

Wenye exposure za investments za duniani watanielewa.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
EeeenHeeeee!

Sioni mtu yeyote kufanya hayo uliyoeleza hasa hayo ya Kariakoo mbali ya hao hao kutoka huko huko Arabia. Usinielewe vibaya kwa ile maana yetu ya siku zote ya uarabu wetu au uzungu wetu tulioletewa hapa; ila hawa waarabu wana uvumilivu mkubwa wa 'risk' na wanajua vizuri zaidi udhaifu wetu tulionao.

Baada ya kusema hayo, nikwambie wazi hapahapa, hizi ni ndoto za mchana unazoota wewe na hao mnaoshirikiana nao.

You ain't seen nothing yet! Mkitaka kuliamsha, mtalipata kweli kweli. Mark carefully my words.

Hii nchi hatuwezi kupelekwa utumwani na binaadam mwingine tena, toka kokote duniani.
Hawa akina Samia ni 'aberrations' tu za muda mfupi. Hatma yetu imo mikononi mwetusisi wenyewe.
 
Wakuja na mwenge mmeiharibu sana Dar yetu. Nendeni Dodoma huko, tuwacheni na DP World yetu tujifaraguwe.
Hawa "wakuja" hasa ndio wenyewe. Wamezaliwa na kukulia hapa hapa na kuwaondoa waliokuwepo hapo mwanzo, hilo hulijui au unajifanya kujisahaulisha tu mwenyewe kwa furaha zako za muda mfupi?
Angalia usije ukazimaliza 'endophins' zinazokupa furaha hiyo ya muda mfupi, hasa ukizingatia na huu umri mkubwa ulioenda mbali, unaweza kujikuta maisha yako yote yaliyosalia unakuwa mtu wa matatizo ya kifikra kila mara.
 
Kwahyo Adam na Eva waliishi Tanzania na Bustani ya eden ilikuwa Arusha?
 
Kama tumeuzia watu bandari kwasababu hawawezi kuendesha,tuwauzie Olduvai Gorge waKenya maana wao wanaweza kuitangaza. Au mnasemaje? Tuko kwenye biashara ya kuuza uza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kulingana na history ya Kenya, mabaki ya binadamu wa kwanza yalipatikana maeneo ya Turkana.
Waethiopia wanaamini binadamu wa kwanza aliishi nchini umo maeneo ya Hagar
 
Hawa "wakuja" hasa ndio wenyewe. Wamezaliwa na kukulia hapa hapa na kuwaondoa waliokuwepo hapo mwanzo, hilo hulijui au unajifanya kujisahaulisha tu mwenyewe kwa furaha zako za muda mfupi?
Angalia usije ukazimaliza 'endophins' zinazokupa furaha hiyo ya muda mfupi, hasa ukizingatia na huu umri mkubwa ulioenda mbali, unaweza kujikuta maisha yako yote yaliyosalia unakuwa mtu wa matatizo ya kifikra kila mara.
Ni "endorphins", umekosea kuandika, karekebishe (edit).

Umeandika mengi, nilikujulisheni tu kuwa mmeuharibu mji wetu, mlikuja na mwenge sasa mwenge umehamia Dodoma, ufateni huko.

Nimewaambisla muondoke kwa wema kabisa na siyo kws ubaya.

Sababu kubwa ni kuwa mmeonesha chuki kubwa sana mlipoona mama Samia kasaini maridhiano ya kushirikia na serikali yavutawala wa Dubai kuendeleza bandari zetu kwa utaalaam wao wenye ubora na mtaji wao mnene usio na shaka.

Wenyeji wa mwambao wote wa Tanzania tunapenda sana amani, husan Dar Es Salaam, hata jina la jiji letu linaashiria amani. Pia tynspensa sana wageni, kama mlivyokuja nyinyi kwa uhitaji wenu mkaacha makwenu, wa Dubai tunawagitaji sana sisi ili watutengenezee na kupabotesha mlipokosea na kuharibu, kwa faida yetu sote.

Ns. Mkiona mtsifumisha amani na wageni mtawapokea na kuwakaribisha kwa furaha na amani, basi kaeni kwa ustaarabu mluiojifunza pwani. Simpo.

Salama na amani iwe kwetu sote.

Kwa kukujuza tu, uzee ni dawa siyo maradhi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Upo na umri gani , elimu gani hadi uhisi mabaki ya kale ni agenda nyeti ktk karne hii?
Hitaji la watanzania bado ni mabaki ya mwanadamu wa kale?

Tunayo safari ndefu aisee
 
Wapi umeona nimeandika "nyeti" katika hilo bandiko langu kuhusu Ruto?
 
Usijifanye umeelewa nilichokieleza hapo kuhusu hizo 'endorphins', omba tu msaada uelezwe maana yake ni nini.

Kuhusu huo mjadala wa "wakuja", hilo liko chini sana ya hadhi ya kupotezea muda kulijadili hapa na mtu kama wewe. Ninakuachia uwanja kwenye mambo ya hovyo kama hayo.

Kuhusu hiyo mipasho ya "uzee ni dawa" pia sina muda na mambo kama hayo, ninakuachia wewe fundi mkuu wa mipasho.

Kuna jambo moja tu ninalotaka kukumbusha, pamoja na kwamba mnatumia upotoshaji juu yake wewe pamoja na hao akina Samia.
Uwekezaji haupingwi katika swala zima la hii bandari. Ila kwa vile mmenaswa na hujuma zinazofanyika kupitia kwenye mikataba mibovu, sasa mnavunga vunga ionekane watu wanakataa uwekezaji moja kwa moja.

Mmesahau kwamba, hata kwenye huo uwekezaji, ni njia ya kuunga mkono juhudi zetu wenyewe kuendeleza nchi yetu na maisha yetu. Uwekezaji unaokuja hapa siyo wa kuja kufifisha juhudi zetu sisi wenyewe.

Kwa hiyo, jukumu la uongozi ni kuhakikisha kwamba uwekezaji huo ni kwa manufaa ya nchi na wananchi wake, na siyo kuleta watu wanaokuja kupangisha nyumba huku mwenye nyumba akiwa hana mamlaka ya uamzi wa nini cha kufanya na nyumba yake hiyo kwa manufaa yake na jamii yake inayomtegemea.
Hatutaki mikataba ya kiujanja ujanja isiyo kuwa na ukomo wake na maeneo husika ya uwekezaji yakiwa ni ya kuamriwa na mpangaji mwenyewe.

Achana na mipasho ya kisichana wanaobarehe, tutajadili vizuri haya mengine.
 
Upo na umri gani , elimu gani hadi uhisi mabaki ya kale ni agenda nyeti ktk karne hii?
Hitaji la watanzania bado ni mabaki ya mwanadamu wa kale?

Tunayo safari ndefu aisee
Huko ndiko kwenye fani yake; kwa hiyo anajisikia vizuri akileta mambo hayo kujadiliwa humu, ikiwa pia na lengo la kupoza mijadala ya moto kama hilo la Bandari.

Angalia alivyoliwasilisha jambo lenyewe kuamsha hisia za watu humu kuhusu hiyo nchi ya jirani.
 
Usijifanye umeelewa nilichokieleza hapo kuhusu hizo 'endorphins', omba tu msaada uelezwe maana yake ni nini.

Kuhusu huo mjadala wa "wakuja", hilo liko chini sana ya hadhi ya kupotezea muda kulijadili hapa na mtu kama wewe. Ninakuachia uwanja kwenye mambo ya hovyo kama hayo.

Kuhusu hiyo mipasho ya "uzee ni dawa" pia sina muda na mambo kama hayo, ninakuachia wewe fundi mkuu wa mipasho.

Kuna jambo moja tu ninalotaka kukumbusha, pamoja na kwamba mnatumia upotoshaji juu yake wewe pamoja na hao akina Samia.
Uwekezaji haupingwi katika swala zima la hii bandari. Ila kwa vile mmenaswa na hujuma zinazofanyika kupitia kwenye mikataba mibovu, sasa mnavunga vunga ionekane watu wanakataa uwekezaji moja kwa moja.

Mmesahau kwamba, hata kwenye huo uwekezaji, ni njia ya kuunga mkono juhudi zetu wenyewe kuendeleza nchi yetu na maisha yetu. Uwekezaji unaokuja hapa siyo wa kuja kufifisha juhudi zetu sisi wenyewe.

Kwa hiyo, jukumu la uongozi ni kuhakikisha kwamba uwekezaji huo ni kwa manufaa ya nchi na wananchi wake, na siyo kuleta watu wanaokuja kupangisha nyumba huku mwenye nyumba akiwa hana mamlaka ya uamzi wa nini cha kufanya na nyumba yake hiyo kwa manufaa yake na jamii yake inayomtegemea.
Hatutaki mikataba ya kiujanja ujanja isiyo kuwa na ukomo wake na maeneo husika ya uwekezaji yakiwa ni ya kuamriwa na mpangaji mwenyewe.

Achana na mipasho ya kisichana wanaobarehe, tutajadili vizuri haya mengine.
Huna uelewa wa mikataba, huna uelewa wa biashara za kimataifa, huna uelewa wa biashara za Bandari. Kwa bahati mbaya huna hata uelewa wa uzalendo ni nini.

Nilivyoviona vinavyokusibu ukakosa yote hayo ni uoga, hususan "Islamophobia" na kibri, husan "antagonistic arrogance".

Pole sana, ni matizo yanayohitaji upate huduma ya mjuzi wa maradhi ya nafsi (psychologist). Namuomba Allah upate shufaa ya haraka.

Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kawaida ya watu kama wewe ni huo huo ulevi wenu wa kila siku, UDINI.
Hili sina subira nalo hata kidogo.

Kama 'uzalendo' ni kuwa na dini fulani, uzalendo huo siutaki, kaa nao mwenyewe.

Mimi nikiwa na maradhi ya akili, wewe utakuwa na kitu gani mtu uliyetekwa akili na dini kama mlevi wa pombe! Dini imechukua akili zote wala huwezi kujua kwamba maisha na ulevi wa aina yoyote hayo siyo maisha tena. Kaa na ulevi wako huo, mimi siukubali.
Lakini usidhani kuwa simwamini Muumba katika maisha yangu, lakini sikulewa kama ulivyojiachia wewe. Watu kama nyinyi siku mkijikuta jehenam mnalialia wakati mnapotambua kwamba ulikuwa ni ulevi tu uliokuwa ukiwaendesha katika maisha yenu, na wala siyo kumcha Mungu.

Kaa na ulevi wako mbali nami.

Hayo ya biashara na mengine uliyotaja hapo juu, nimekwishakueleza, lakini naona hutaki kuelewa. Biashara inayofanyika hapa ni kwa manufaa ya waTanzania, siyo hao rafiki zako unaowatetea hapa kwa sababu za ulevi tu wa kinywaji walichokuonjesha (dini).

Kama "uoga" ni kuhimiza kujijengea uwezo wa kufanya mambo muhimu yanayohusu maendeleo yetu, siuhofii "uoga" huo. Acha niwe mwoga.

Lakini kama "uzalendo" ni kutegemea kutafutiza watu waje hapa kukufanyia kila jambo, huku ukidhalilishwa utu wako, huo uzalendo siuhitaji.

Mwambie Samia atumie muda wake mwingi kufanya kazi na waTanzania asiishie kwenda kutafuta mikataba isiyoeleweka huko kwa wajomba zake.
 
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Asante, huu ndio uzalendo
P
 
Huyu arap Mashamba mbona ni muongo na mwizi wa kutupwa tangu akiwa tumboni mwa mama yake. Huoni wakenya wanavyojuta kuchagua panya road Ruto na Gachieka wake?
 
Huna uelewa wa mikataba, huna uelewa wa biashara za kimataifa, huna uelewa wa biashara za Bandari. Kwa bahati mbaya huna hata uelewa wa uzalendo ni nini.
Haya yote unayamiliki wewe, au unajitangazia tu kama mtu aliyepungukiwa kichwani?
 
Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto.

Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo.

Kwa mshangao, leo nimemsikia Rais wa Kenya alipokuwa anaongea na raia wa Marekani wenye asili ya Kiafrika akisema uongo wazi wazi bila hata ya upepesa macho. Alisema (tafsiri ni yangu kwa msaada wa Google) "Kenya ni chimbuko la wanadamu ambapo ndipo mabaki ya mwanadamu (wa kale) yalipatikana, hiyo ina maana sisi sote kutoka popote ulipo asili yetu ilikuwa Kenya, ukifika Kenya unarudi nyumbani."

Huo ni uongo, mtu wa kale fuvu lake lipo pale makumbusho ya Taifa lilivumbuliwa Olduvai Gorge, kwa sasa ni mpakani mwa Singida na Manyara (gehandu) lilivumbuliwa na wazungu, mke na mume, wanitwa louis an Mary Leakey, Louis Leakey ni mzaliwa na kakulia Kenya kwa Wakikuyu. Kila mmoja kati ya mume na mke alidai kavumbuwa yeye (kasheshe).

Jarida la mtandao la shirika la Weusi wa kale "Black Past organisation) limeandika hivi:

The Olduvai Gorge or Oldupai Gorge is a paleoanthropological site in the eastern Serengeti Plain, near northern Tanzania, in East Africa. The gorge is nicknamed the “Cradle of Mankind” because it is believed to be the site of found remains of the first human beings to walk on Earth.

Soma zaidi: Olduvai Gorge •.

Rais Ruto kwa heshima na taadhima tunakutaka uombe msamaha hadharani kwa kuudanganya ulimwengu, kwa kujuwa su kutokujuwa, haijalishi, tunataka uweke records sawa.

Video yake ni hii, msikilizeni fakika 2:36 mpaka dakika 2:46.

Nawasilisha.
FF.

Mama Samia anaupiga Kimataifa.
Sasa watu Wetu Huwa ni wajinga hawawezi kutoka hadharani hata kwenye Twitter yake kujibu huu uongo..Hii ndio hasara ya ujamaa Wetu.
 
Wewe inakuuma nini ilhali hilo chimbuko la mtu wa kale halipo Zanzibar?! Singida na Manyara wapi na wapi na huko Makunduchi?

Au nalo mnataka kuwapa waarabu?!!!!

Tunataka bandari yetu na koma kututoa kwenye mstari.
Asante sana.
 
Back
Top Bottom