Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

Mnatuambia Binadamu wa kale alivumbuliwa Olduvai Gorge, ndo huyo Adam na mkewe Eva waliishi hapo Olduvai Gorge?
 
Hao hao akina Leaky waligundua pia Mabaki waliyoyaita Ramapithecus kule kwenye kisiwa Cha Rusinga Kenya na Kenyapithecus pale Fort Tenan,hao nao wanahusishwa na Zamadamu.Kuna Lucy Yuko Hadar Ethiopia anatajwa kuishi miaka milioni 3 iliyopita.Kuna Australopithecus Africanus aliyepatikana Aung Afrika kusini 1924.Zinjanthropus boisei wa Oldupai hakuwa wa kwanza na hakuwa peke yake.Hivyo hayo ya Ruto yasikutishe kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…