Tiba Mubito
Senior Member
- Jun 8, 2020
- 180
- 182
Waibe kura wao,wawasingizie wanao pinga wizi wa muda!? Nchi hii ni ya Watanzania wote, sio Nchi ya ccm peke yao, mtu yeyote mwenye vigezo vya kugombea agombee na achaguliwe sio kuenguliwa ,halafu watu wanapinga udhalimu wenu wakati wa chaguzi mnawaweka ndani kwa kesi za uhaini!Kwani serikali ni ya nani?? wanafarakanisha vipi wakati serikali ndo inahusika? Police ni sehemu ya serikali. uliofanyika jana ni ubaya na si kitu cha kushabikia. Sioni sababu watu kuuwawa na kuvunjwa viungo vyao sababu ya kulinda serikali ya ccm.
Siwezi kupoteza mda wangu kumsikiliza mpuuzi na upuuziRais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Updates....
Rais Samia ameeleza kuwakwa mwaka huu sherehe za Muungano zitafanyika kwenye mikoa yote Tanzania ambapo viongozi mbalimbali wataungana na wananchi katika uzinduzzi w miradi ya Maendeleo.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni "miaka 61 ya muungano wa Tanzania, Muungano wetu ni dhamana, eshima na tunu ya Taifa, shiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025"
Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki
Rais Samia ameeleza pia kuwa falsafa ya 4R isiwe sababu ya kuvunja sheria. Aidha amewataka wananchikujittokeza kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi
Hakuna aliye juu ya sheria na wote tunatakiwa kuendesha shughuli zetu za kisiasa, tukizingatia amani na usalama wa nchni
View attachment 3315454View attachment 3315473View attachment 3315474View attachment 3315475View attachment 3315476
===
Nimesikitika sana. Mfano waliovunjwa miguu ni ndugu zako unaowategemea, utajisikiaje? Tuna lockups, magereza nk, kote huko umeshindwa kuwapeleka hadi uwavunjevunje miguu,kweli ni haki? Wazee kama hawa hawana silaha yeyote.Inauma Sana kufanyia unyama binadamu wenzako.
Kama ulijua, au una karama ya unabii nini?Hatoongea kuhusu ya watu kupigwa mahakamani. Ataongelea sherehe za muungano za kesho.
Akiwa na ujasiri sana anaweza kufafanua kauli za mvutano wa kibiashara na south africa na malawi kwa kunyoosha alipoharibu bashe
Pia atapiga mikwara viongozi wa dini na.wanasiasa. Atamalizia na simba kufuzu.
Kwenye hili group Kuna WAZALENDO.Nimesikitika sana. Mfano waliovunjwa miguu ni ndugu zako unaowategemea, utajisikiaje? Tuna lockups, magereza nk, kote huko umeshindwa kuwapeleka hadi uwavunjevunje miguu,kweli ni haki? Wazee kama hawa hawana silaha yeyote.View attachment 3315581View attachment 3315581