Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.

 
Kwanza ni kero kwa wananchi, nakumbuka 2019 Magufuli alikuwa anatoka Dar-Dom, tulikaa kwenye foleni kuanzia saa 1:30 mpaka saa 5 ndiyo akapita barabara zote zilikuwa zimefungwa.
Mnazungumzia sana demokrasia lakini naona wengi wenu mnaijuwa Domo- krasia.

Rais kuzungumza na wapiga kura wake macho kwa macho wakiwa maeneo yao wanayo ishi, na kuzungumzia kinacho wakera au nini wanataka, kwa vinywa vyao. Kitendo hicho ni kupractise demokrasia kwa kiwango cha juu kabisa, for president to physically be engaged with his constituents.

Kama anão muda aendelee tuu.
 
Hivi kama raisi hasimami sehem akasikia matatizo ya wananchi wake kupitia vinywa vyao wenyewe atajuaje kama wananchi hao wanashida ya maji, barabara, umeme na kero nyingine nyingi zinazowahusu wananchi wa sehem husika. Kumbuka wawakikilishi wengi wa wananchi wakiwemo wabunge, huwa wanawakilisha tu matatizo ya matumbo yao ili waweze kuongezewa mishahara yao.
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia majiani.. (naona rais SSH naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba ktk eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia majiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama majiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
uko ni kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi wa CCM KULIKO KANDA YEYOTE NI LAZIMA ASIMAME KILA SEHEMU MAANA NI KANDA PENDWA NA YA KIMKAKATI
 
Pale mahali kuna maaskari wa kila aina. Mwanza ni kwa JPM ambaye ndio aliyempa umakamu uliompa fursa ya urais.

Nilichogundua ni kwamba huwa anakohoa akisimama na kuhutubia akiwa garini.
Kukohoa ni moja kati ya tabia za mtu. Hata Joe Biden huwa anakohoa sana tu katika hotuba zake. Jaribu kumfatilia utaona ninachokwambia.
 
Hivi kama raisi hasimami sehem akasikia matatizo ya wananchi wake kupitia vinywa vyao wenyewe atajuaje kama wananchi hao wanashida ya maji, barabara, umeme na kero nyingine nyingi zinazowahusu wananchi wa sehem husika. Kumbuka wawakikilishi wengi wa wananchi wakiwemo wabunge, huwa wanawakilisha tu matatizo ya matumbo yao ili waweze kuongezewa mishahara yao.
Samia amekwisha kataa kuona kero za watu kwenye mabango, je anaruhusu kusikia kero hizo hizo kwa mdomo?
 
Eneo maalumu likilo andaliwa. Tatizo mnachangia bila kusoma Uzi husika
Siasa ni kama kioo cha kujiangalia kwa binadamu/ mwanasiasa. Ukimwita mzazi au mwanao aje nyumbani kwako ama ulipokutayarisha uzungumze nae na kumtembelea nyumbani kwake anakoishi kuna tija tofauti. ,
 
Mwacheni Madam ahutubie
Halafu mbona kumpangia sana maisha aiseh??
Mwacheni afanye kazi subiri 2030
Kukohoa sio dhambi ni dalili ya mtu mwenye Afya
Mwacheni apumzike madame apige kazi
 
Back
Top Bottom