Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

Mwanza ni jiji la pili kuwa na njia 4 ni halali,mbona Arusha kuna njia 4 na Mbeya zinajengwa pia hivi karibuni. Tufikiri kileo
 
Inawezekana, Tena bila kufanya ubomoaji mkubwa wa nyumba za watu. Unajenga barabara za juu na chini. Tujenge barabara za ghorofa.
 
Bila hata kufika takwimu ziko kiganjani ndugu, Mwanza town/city ina watu 1,200,000 bado idadi ni ndogo sana ambayo haiwezi kusababisha foleni yoyote ile, kwa ufupi inazidiwa na Jimbo la Mbagala, sijaona Mbagala wakihitaji barabara za mitaa ziwe njia 4.Ni busara hiyo fedha kuilekeza kwa barabara za vumbi nazo zikawa na rami.
Kwani umeambiwa hizo barabara ni za mitaa hzo ni highways
 
Bila hata kufika takwimu ziko kiganjani ndugu, Mwanza town/city ina watu 1,200,000 bado idadi ni ndogo sana ambayo haiwezi kusababisha foleni yoyote ile, kwa ufupi inazidiwa na Jimbo la Mbagala, sijaona Mbagala wakihitaji barabara za mitaa ziwe njia 4.Ni busara hiyo fedha kuilekeza kwa barabara za vumbi nazo zikawa na rami.
Kama unasema hizo ni barabara za mitaa basi sina shaka uijui mwanza
 
Back
Top Bottom