Bila hata kufika takwimu ziko kiganjani ndugu, Mwanza town/city ina watu 1,200,000 bado idadi ni ndogo sana ambayo haiwezi kusababisha foleni yoyote ile, kwa ufupi inazidiwa na Jimbo la Mbagala, sijaona Mbagala wakihitaji barabara za mitaa ziwe njia 4.Ni busara hiyo fedha kuilekeza kwa barabara za vumbi nazo zikawa na rami.