KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wewe ukitapeliwa na ukaja ukagundua hutataka urudishiwe vile ambavyo ulitapeliwa....??Hoja yako ni Wakipewa hupati chochote, wakikosa pia hupati chochote ila Sheria ifuate mkondo.
Sawa.
Hoja yangu ni wale ni wahalifu ni kweli ila serikali ilikubali huduma zao na sasa imewaadhibu kwa kuwafukuza kazi, Kama kuna uwezekano wa kupewa yale makato waliyokuwa wanakatwa wakati wanatoa huduma wapewe. Mbona kuna misamaha ya raisi? Kushupalia wasipewe ni roho ya ajabu. Ukumbuke wengi hapa ni walitumia majina ya watu kujiendeleza. Miaka ya nyuma imefanyika sana.