Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Wewe ukitapeliwa na ukaja ukagundua hutataka urudishiwe vile ambavyo ulitapeliwa....??
 
Mtake msitake watalipwa tu , roho mbaya haijengi , mama kaishasema unafikiri amekurupuka ? Yote anayoyafanya na kusema na kuchukua hatua ameshauriwa kuondoka vinyongo mbalimbali vya watanzania .
 
Wewe ukitapeliwa na ukaja ukagundua hutataka urudishiwe vile ambavyo ulitapeliwa....??
Utapeli? Sikiliza, Miaka ya nyuma watu walitumia majina ya watu kujiendeleza. Hawa hawajifichi kwenye utapeli wanajulikana maana ilikuwa kawaida kuchukua jina la mtoto asiyeendelea na kuendelea nalo.
Serikali ilijua kabisa hawa watu wapo si kuwa hawakujua. Kuwaondoa sasa si kwa sababu hawakujulikana kabla. Kuna sababu za msingi za kuwaondoa.
Kachukue age za walioondolewa uangalie, wengi ni waliosoma zamani.
 
Kwahiyo mifuko ya hifadhi ya jamii walikuwa wanapokea michango ya hao watumishi ili waifanyie nini? Ebu acheni dhuluma lipeni haki stahiki za watu , acheni roho za kiibilisi , hao wakilipwa hujui mzunguko wa fedha unakuguss hadi wewe au ndio Lusinde au Musukuma type of ideas .
 
Vipi double standard kutochukuliwa hatua jeshini , polisi magereza , uhamiaji , usalama wa taifa wamejaa mpaka sasa hivi .
 
Rudia tena kusikiliza hotuba,hajataja vyeti feki paleee
 
Vipi double standard kutochukuliwa hatua jeshini , polisi magereza , uhamiaji , usalama wa taifa wamejaa mpaka sasa hivi .
Two wrongs d t make a right. Kama huko nako ni hivyo basi nako wafanye kusafisha wasio stahili kuwepo.
Na ndio maana nikasema kama kiongozi ukishaanza kuweka exceptions ujue utajipa tabu huko mbileni.
 
Kweli mkuu na walioghushi ushaguzi 2020 ili wawe pale walipo nao Hawa wwlitakiwa wawe jela.
 
Kwa kusaidia tu ni hii hapa...

Your browser is not able to display this video.
 
Kweli mkuu na walioghushi ushaguzi 2020 ili wawe pale walipo nao Hawa wwlitakiwa wawe jela.
Kabisaaa eti wezi wa uchaguzi wanasindikizwa na vingo'ra aiseeee halafu nyumbu wa kijani kibichi hawataki watu waliotoa jasho lao na kuitumikia nchi kwa moyo , uaminifu mkubwa walipwe ?
 
Rudia tena kusikiliza hotuba,hajataja vyeti feki paleee
Hebu lipeni hela za watu muiondolee hii nchi laana za kujitakia kama zile za kuteka , kufunga kwenye viroba , kuua zimeiharibu Sana hii nchi , majuto mjukuu hebu lipeni .
 
Kwann
Kwann muajiri akubali kuongopewa.Kifanyacho Kazi ni vyeti au weledi, huwezi foji taaluma.
 
Kwann
Kwann muajiri akubali kuongopewa.Kifanyacho Kazi ni vyeti au weledi, huwezi foji taaluma.
 
Fidia gani? Ni zile stahiki zao wanazokatwa za mishahara nssf🤣🤣 kwa huduma walizotoa. Sasa hizo unazichukua za nn? Embu jiulize tu, wewe wakipunguziwa adhabu wakapewa zile stahiki za 5%walizokatwa kwenye mshahara kwann unaumia?
Mm naumizwa na nini sasa?
 
Sheria zipo kwa ajili ya binadamu sio binadamu kwa ajili ya sheria, ndo maana huwa tunahalalisha misamaha ya raisi baada ya hukumu.
Usiongozwe na roho ya aina hiyo, haitakupeleka popote katika siku zako za kuishi.
Narudia tena...
'Usihalalishe uvunjifu wa sheria kisa ubinadamu.'
 
Hebu acheni kuitia nchi katika laana kisa roho za uzulumati , laana nyingine ya watu ,waliouawa ,tekwa ,fungwa kwenye viroba ,inalitesa taifa hili bado mnataka na kudhulumu mafao yao tena ?.
Narudia tena...
"Usihalalishe uvunjifu wa sheria kisa ubinadamu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…