msikubali, ni kuwaweka sawa baadaye awatimue. Alifikiri nini wakati ana jenga wazo la kuwafurusha? Huyo ni Muongo!
Nani alisitisha hizo huduma huko Ngorongoro?
Hiki kibibi kina wendawazimu. TISS inafanya nini? Waki-neutralize kama kinaleta za kuleta.Hii inaweza kuwa mlolongo wa ushahidi wa kesi kwenda The Hague ICC Mahakama ya Kimataifa Uholanzi ambapo Uhuru na Ruto waliponea chupuchupu lakini je makamanda wa polisi wana kinga ya kutoshitakiwa ?
CHAKULA KAMA SILAHA YA KIVITA
Jeshi la Polisi Karatu ladaiwa kuzuia chakula na mizigo kuingia Ngorongoro
View: https://m.youtube.com/watch?v=ov3Jd148cQc
Wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ambao wanafanya maandamano ya amani katika tarafa hiyo wamesema kuwa Jeshi la Polisi Karatu linazuia magari yenye mizigo na chakula kuingia Ngorongoro.Wananchi hao wamesema kuwa zoezi hilo limewalenga wao waandamani.
Wamebana weee hatimaye wameachia. Nguvu ya dola hata siku moja haiwezi kushinda nguvu ya umma. People's power
Umoja ni nguvu, siku wananchi wakitambua nguvu waliyonayo gov haitowaonea tenaWamebana weee hatimaye wameachia. Nguvu ya dola hata siku moja haiwezi kushinda nguvu ya umma. People's power
Tengeneza tatizo kisha litatue upate ujiko,ndicho kilichotokea.Nani alisitisha hizo huduma huko Ngorongoro?
Kama ni yeye Mama basi atuombe radhi wote kwanza, awajibike na mateso yote.
AmesandaNi jambo jema 😄