Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa Nyinyi wamasai SI mnasema mnaishi porini na wanyama?Sasa mkate na soda za Nini?SI mle majani kama hao wanyama mnaokamaa kuishi nao?
Ni ninii hii umeandika? Kanywe chai kwanza una kurupuka unaandika vitu vya ajabu
 
Na wote walioenda msomera warudi nyumbani! Na wote waliovunjwa miguu kwenye operesheni mbali mbali walipwe fidia, waliotekwa warudishwe!! Maasai siyo wajinga;!!!
 
Na wote walioenda msomera warudi nyumbani! Na wote waliovunjwa miguu kwenye operesheni mbali mbali walipwe fidia, waliotekwa warudishwe!! Maasai siyo wajinga;!!!
Sahihi kabisa.. Wasitulizwe kishamba namna hiyo
 
Alieagiza na kusitisha huduma za jamii alikuwa nani? Amewajibishwa?
 

Kwani. Zilisitishwa? Kuhama si ilikua no hiari au?
 
Duuuh
 
Kwenye kichwa chake kwa nafasi yake anaweza mfurahisha kila mtu.

Ilhali hao wananchi wa Ngorongoro ni wilaya tu, kuna mambo ya hovyo mawaziri (serikali yake) watanzania wamepima tofauti yake na mtangulizi wake hawataki hata kumsikia.
 
Mwanasiasa, anatengeneza tatizo kwa jamii, halafu anakuja kivingine kujinasibu kama hahusiki na kulisababisha tatizo bali kulitatua! Katiba mpya yenye uwezo wa kumuadabisha mtawala anayechezea maisha ya WaTz inahitajika haraka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…