Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao

Rais kila siku anapewa,taarifa kuhusu migogoro, mambo makubwa vote kuhusu usalama wa nchi ya ndani na nje. Rais huwa ana taarifa zote kila siku asubuhi kuhusu usalama wa nchi na matatizo ya nchi. Report zote anapewa kama amiri jeshi mkuu, Rais.
 
Angalau huyu ametaka uchunguzi na ripoti ya kina lakini aliyepita alipinga kwa nguvu zote uchunguzi wa aina yoyote.
Rais aliiachia hali hii ndiyo tumefika hapo,wengi mno wametekwa na kuuawa. Kwa sasa viongozi wa dini wako wapi?
 
Kisha ambiwa kua unataka kubakia madarakani? Kasema ndio wao sasa wanafanya walitakalo kwa kumwambia tuachie sisi na ww ubakie magogoni.sasa YY atakataa?. Na alivyo mweupe kichwani wanamzidi kete unaambiwa hajawai kusoma ripoti hata nusu saa za majukumu YAKE. Ndio maana kateua wasaidizi wake ni wengi kuliko president yyte yure tangu nchi ipate Uhuru.
 
Rais kila siku anapewa,taarifa kuhusu migogoro, mambo makubwa vote kuhusu usalama wa nchi ya ndani na nje. Rais huwa ana taarifa zote kila siku asubuhi kuhusu usalama wa nchi na matatizo ya nchi. Report zote anapewa amiri jeshi mkuu, Rais.l
Kiongozi hasomi unambiwa yy ni misele tu.sasa wasaidizi wake wana mwingiza chaka kwakua hajui kitu.
 
Kiongozi hasomi unambiwa yy ni misele tu.sasa wasaidizi wake wana mwingiza chaka kwakua hajui kitu.
Yeye,inawezekana amewapa mamlaka wafanye vyovyote abaki bila bugudha. Taarifa zote muhimu huwa zinamfikia Amiri jeshi mkuu. Yeye ndio kiongozi wa majeshi yote, serikali nchi na utawala wote. Ndio maana ya kuwa Amiri Jeshi na Rais wa nchi. Vitu vyote muhimu anapewa taarifa. Ni yeye kuamua kufanya maamuzi.
 
Kama TL aalipigwa risasi tena ndani ya makazi ya viongozi na hakuna kilichofanyika mpaka leo katika hili mnategemea nini?.

taasisi huru za kiuchunguzi ambazo zinajtoa majina public ya wahusika, waliowatuma nk ndio jambo pekee la msingi, majina yakitoka basi Taifa zima lisamame wahusika wakamatwe na kesi iendeshwe live.
 
Rubbish.
 
Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
Inaudhi sana...
Tuendako watekaji watatekwa na wauaji watauwawa. Ndo kilichobaki!
 
Hakika
 
Huu uchunguzi WAANZE na Msigwa. He knows something.
Alimtaja marehemu kwa jina kwamba Ni strategist wa chadema.
 
mm ndio ofisi ipi au cheo gani
 
Anaua watu halafu anaagiza polisi kufuatilia
 
Wanatuchezeaaa akili......mtu anatekwa mjini watu wanaona na magari police yanahusika leo mnasema hamuwajui watekaji upuuuziii......mnatupotezea muda
ni ujinga na upunguani kujifanya hawamjui anaefanya haya mambo.
mbona akiuawa mtu fasta anakamatwa muuaji na hata akitekwa mtu fasta anatafutwa na kukamatwa WHY HIZI ZA CHADEMA hazina uchunguzi wala hakamatwi mtu.
simu wanakuwa nazo na wanatoa ripoti za vitisho ila hama kitu.

Mama, mama nakuita mama soon jina la mama litakuwa sii mama tena bali shetani
 
Huyo rais anazuga tu, anaelewa kila kinachoendelea. Alisema utekaji ni drama, lengo ilikuwa ni kufunika ukweli. Haya yanayoendelea yana baraka zake, na wala hakuna uchunguzi wowote utafanyika zaidi ya maigizo.
 
Mtukaneni Magufuri maana mlimsema vibaya sana yule mzee
Yeye aliyafanya haya sana, ila hakuwa amewapa usalama wa taifa kinga ya unyama huu. Lakini process ya sheria ile mbaya ilaanza kutungwa chini yake. Samia amekuja tu kuitekeleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…