kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
unawasiwasi na mwezi wakwanza na oddo kwamba Tanga mzee angewamaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najiuliza sana, tusubiri tuone.Shida mkuu ni pale ambapo najiuliza ni raia gani wa kawaida mwenye ujasiri wa kuingia ndani ya basi mchana kweupe na kumfunga mtu pingu huku wakiwa na silaha za moto?
Ingekuwa ni suala la visasi vya kifamilia basi ingekuwa wanaviziana tu lakini sio kumfunga mtu pingu mchana kweupe mbele ya umati wa watu.
Usilete utani kwenye mambo serious.Naanza sasa Kuhisi kuwa huenda kuna Watu wana Bifu zao ama za Kibiashara au Kisiasa na hata Kifamilia na Watekelezaji wa kumsaidia Israeli kufanya Kazi yake tukuka ya Kuzima Pumzi zetu za Duniani wakatumia Lifti ya Taasisi fulani inayolaumiwa kila Siku kuwa Wao ndiyo Wamesaidiana na huyo Israeli.
Haya mambo wanafanya vyombo vya ulinzi na Usalama, nchi hii huwezi fanya jambo baya kama lile la kuchafua taswira ya nchi wakakuacha salama tena mazingira ya wazi vileBinafsi hili tukio limenipa mshtuko na simanzi sana. Nakosa chakusema zaidi ya uchungu.
Lakini kutokana na mengi yanayosemwa juu ya utekwaji wa Mzee wetu, hakuna aliyebahatika kupata picha ya Yale mazingira ukiachilia mbali CCTV za kwenye bus...
Haya mambo wanafanya vyombo vya ulinzi na Usalama, nchi hii huwezi fanya jambo baya kama lile la kuchafua taswira ya nchi wakakuacha salama tena mazingira ya wazi vile
Taarifa zote hizo zinafahamika na mabus mengi siku ya CCTV cameraNakuelewa sana Mkuu, Kwa vyovyote vile itakavyokua, iwe ni vyombo vya usalama vimehusika au havijahusika, Bado hawawezi kujikwamua na lawama za hili janga na yote yanayoendelea...
Nipo sambamba na wewe kiongozi, kwenye mtandao ya kijamii au popote pale Kuna taarifa za Hilo bus alilopanda Mzee wetu?Taarifa zote hizo zinafahamika na mabus mengi siku ya CCTV camera
Nipo sambamba na wewe kiongozi, kwenye mtandao ya kijamii au popote pale Kuna taarifa za Hilo bus alilopanda Mzee wetu?
IGP amekuwa kama hayupo kazini. Ushahidi WA kwanza huo hapo,basi alilokuwa amepanda mzee wetu Ally kibao.