Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Watu wa dasilaaaamu bhana mnajikutaga maninja sana kumbe hamjui hata mikondo ya maji ilivo,,,wasilipwe hata Mia mbovu kwani wao hawaoni mafuriko??
 
Tatizo wewe unaiangalia Jangwani ya sasa hivi, unadhani Yanga kuomba eneo wajenge uwanja mkubwa hawana akili?
Watu wakiiangalia Ile Jangwani mate yanawatoka Kwa uchu....such a potential land....hayo mafuriko yanazuilika, ni mipango tu
Kabisa kabisa !!
 
Including which one ??!😅🙏
 
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Kwani hiyo 4m ni pamoja na nyumba? Kwa maelezo mbona kama hiyo milioni 4 ni kwa ajili ya kipande cha ardhi tu? Tusipotoshe! Wenye nyumba watapata na hela ya kwenda kujengea bwana!
 
Kwani hiyo 4m ni pamoja na nyumba? Kwa maelezo mbona kama hiyo milioni 4 ni kwa ajili ya kipande cha ardhi tu? Tusipotoshe! Wenye nyumba watapata na hela ya kwenda kujengea bwana!
We hujaona EATV taarifa ya saa 1 leo? hata uwe na ghorofa ni 4M
 
Wamuulize Yusuf Makamba akiwa mkuu wa mkoa wa Dar essalaam na uzoefu wake kipindi chake kuhamisha hao watu

Ana kitu ambacho hawezi sahau aweza sahau yote lakini sio hao wakazi wa jangwani
Usitishe watu wewe! Na mbona wanehama!
 
Wajengewe nyumba za bei nafuu wakopeshwe kwa muda mrefu hata wa miaka 5-10 au atafutwe mwekezaji achukue hayo maeneo awalipe fidia ya kueleweka wananchi waondoke.
Yaani wewe itakuwa unaandika tokea Mars. Vinginevyo mbinguni huendi!
 
Sasa mtu awe anatoka Mkuranga kuja kufanya kazi Dar!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…