Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Watu wa dasilaaaamu bhana mnajikutaga maninja sana kumbe hamjui hata mikondo ya maji ilivo,,,wasilipwe hata Mia mbovu kwani wao hawaoni mafuriko??
 
Tatizo wewe unaiangalia Jangwani ya sasa hivi, unadhani Yanga kuomba eneo wajenge uwanja mkubwa hawana akili?
Watu wakiiangalia Ile Jangwani mate yanawatoka Kwa uchu....such a potential land....hayo mafuriko yanazuilika, ni mipango tu
Kabisa kabisa !!
 
Tuombe uzima maana walisema dar, Zanzibar na pemba after 50s years kina cha bahari kitapungua hivyo maji yatapanda juu, Wazanzibar wajanja wameshaanza kununua maeneo morogoro! na kuendelea na maisha,ghalaga bhao!, UMUHIMU WA MUUNGANO NI MKUBWA MNO KWA MUSTAKIBALI WA FUTURE!
The president of Kiribati, Anote Tong, is in talks with Fiji's military government to buy up to 5,000 acres of land in order to relocate the 102,697 people that live in his country.

President Tong tells The Telegraph that this is their last resort: "Our people will have to move as the tides have reached our homes and villages."
->>In fact duniani Vipo visiwa 11 hatarini.
Including which one ??!😅🙏
 
Kiwanja Dar ni shs ngapi? yeye akipewa 4M anaweza kujenga nyumba ya kuishi na kununu kiwanja Dar? wakati hao wananchi wana nunua na kujenga serikali ya CCM ilikuwa wapi? ni kutafuta sifa za hovyo bila sababu za msingi.
Kwani hiyo 4m ni pamoja na nyumba? Kwa maelezo mbona kama hiyo milioni 4 ni kwa ajili ya kipande cha ardhi tu? Tusipotoshe! Wenye nyumba watapata na hela ya kwenda kujengea bwana!
 
Kwani hiyo 4m ni pamoja na nyumba? Kwa maelezo mbona kama hiyo milioni 4 ni kwa ajili ya kipande cha ardhi tu? Tusipotoshe! Wenye nyumba watapata na hela ya kwenda kujengea bwana!
We hujaona EATV taarifa ya saa 1 leo? hata uwe na ghorofa ni 4M
 
Wamuulize Yusuf Makamba akiwa mkuu wa mkoa wa Dar essalaam na uzoefu wake kipindi chake kuhamisha hao watu

Ana kitu ambacho hawezi sahau aweza sahau yote lakini sio hao wakazi wa jangwani
Usitishe watu wewe! Na mbona wanehama!
 
Wajengewe nyumba za bei nafuu wakopeshwe kwa muda mrefu hata wa miaka 5-10 au atafutwe mwekezaji achukue hayo maeneo awalipe fidia ya kueleweka wananchi waondoke.
Yaani wewe itakuwa unaandika tokea Mars. Vinginevyo mbinguni huendi!
 
Hakuna cha kupinga wala kuleta kelele wamepewa hiyo milioni 4 kwa ajili ya ardhi, kisha nyumba inathamininiwa, nimeona mtu hapo kapata milioni 15, ardhi milioni 4 na nyumba milioni 11.

Sio lazima wake dar(mjini) nje ya dar kuna maeneo makubwa tu kwa bei nzuri tu, mkuranga hapo heka milioni 2+ na lina mimea fresh tu.
Sasa mtu awe anatoka Mkuranga kuja kufanya kazi Dar!?
 
Back
Top Bottom