Tall Guy fam
JF-Expert Member
- Jan 16, 2017
- 917
- 1,093
Tunza shukurani yako kwanza, maana wanasiasa 🙌Walipwe, Asante sana mama kwa hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunza shukurani yako kwanza, maana wanasiasa 🙌Walipwe, Asante sana mama kwa hili
Mimi sitetei kuiba cheti, natetea mtu aliyefanya kazi, alafu kwa akili za ki-sukumagang, unataka asilipwe stahiki zake! Kuna watu wana vyeti vizuri tu, Lakini hawafanyi kazi Au wanafanya kazi fake! Tatizo la Tanzania kutukuza vyeti ndo limeleta Hali hii,! Kwa mfano wewe, cheti kina majina yako Lakini uliiba mitihani!Acha kutetea majizi ya vyeti bwana mdogo!
Nendeni shule muepuke kuchonga vyeti steshenari.
Adhabu inatolewa na mahakama. Walitakiwa washtakiwe kama kuna fidia idaiwe. Raisi hakushtaki kwa sababu ya gharama na yeye alitaka kupunguza matumizi bila gharama yoyoteAdhabu ipi? Wakifunguliwa mashtaka pia mtakuja kusema wanaonewa? Adhabu ipi inawafaa?
Ingekuwepo wastaafu wasingekua wana kaa miaka bila kupewa mafao yao ..pesa ina zungushwa kwenye miradi ukoKwani michango yao kwenye mifuko ya jamii ipo wapi
Inawezekana na wewe ulisomeshwa au ulitibiwa na mwenye vyeti feki.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Lakini watapewaIngekuwepo wastaafu wasingekua wana kaa miaka bila kupewa mafao yao ..pesa ina zungushwa kwenye miradi uko
Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Unaweza kuwa na shule na usiwe na ujuziUtakuwaje na ujuzi bila shule? [emoji23]
Hata kama sio mchawi, ila una roho ya kichawiNi Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Walikiwa na vyeti fake lakini hakuna uthibitisho kuwa walitoa hufuma fake. Aliyewaajiri wenye vyeti fake naye ni mhalifu. Kwa kuwa tumeamua kuisamehe Serikali iliyofanya uhalifu kwa kutoa ajira kwa wahalifu, basi tuwasamehe wote.Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Binafsi naafiki tatizo la elimu lililopo. Limezalisha wengi ambao huwezi hata kumwachia jambo muhimu afanye huku wewe uliyemuachia ukiwa na amani kuwa litafanyika kwa ufasaha. Vyeti feki hata wasipolipwa hilo tatizo halitaondoka sababu kwa asilimia kubwa linasababishwa na wenye vyeti halali bila ujuzi na sio wenye ujuzi na vyeti feki.Ndio maana watoto wetu wanajazwa ujinga mashuleni shauri ya walimu feki.
Unakutana na mtoto hawezi hata kujieleza lugha inayoeleweka kumbe shida imeanzia huko kwa walimu wenye vyeti vya kugundisha na gundi steshenari.
Ahsante JPM kwa kuwatimua hawa makanjanja.
Na hizo stahiki hampati ng'ooo! Ngoja. Tutaelewana tu.
Akili yako Ni ‘uchwara’! HiStahiki wanazostahili kulipwa ni kukamatwa na kutiwa jela.
Hiyo ndiyo stahiki pekee ninayoiona hapa.
Mengine ni porojo tu. Tumeelewana?
Uhalifu gani? ulishiriki au unajua namna watumishi wa umma wanavyopatikana mzee? shida yenu hamjui kitu afu mnajidai mnajua? siyo kwamba kila alilolifanya magufuli basi linapaswa kuenziwa. huo ni ujinga kama aliokuwa nao yeye MAGUFULI.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bonge la swaliJe ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Kwani cheti ndicho kilichofanya kazi? Inawezekana miongoni mwao walikutibia wewe ukiwa mgonjwa ila hujui tu.Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Unafanya assumptions zisizokuwepo. Jikitite kwenye hoja ninayokueleza, hizo assumption unazoassume hazitabadili uhalisia.Hicho cheti feki hakiwezi kukusaidia.
Wapishe wenye taaluma halali mzee!
Utachelewa.
How sure mambo mengine kaa kimyaNi Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?