Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mtaani wengine vyuoniUjuzi ambao unatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani wengine vyuoniUjuzi ambao unatoka wapi?
Stop that nonsense, hasara gani? Walikuwa na expertise kubwa kuliko wenye madegree na "madictionary"! Nina ushahidi mkubwa wa hili! Kuna dentist mmoja alikuwa na wateja "wote" kuliko madaktari wengine ie wagonjwa wengi walikuwa wanaenda kwake alivyokuwa smart! And many many other witnesses...,..Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na maarifa yanayotakiwa
Una uhakika walikua wanafanya kazi zao?Ndio jasho la kazi yao au huelewi
Kada ipi inaajiri watu kutoka elimu ya mtaani?Mtaani wengine vyuoni
Akishakua na ujuzi akaona anafaa kwa hiyo kazi ndio huko kufoji vyeti sasaKada ipi inaajiri watu kutoka elimu ya mtaani?
Hata magufuli alikuwa PhD fake. Huelewi hata lolote.Una uhakika walikua wanafanya kazi zao?
Zoezi zima lengo lake lilikuwa kupunguza wafanyakazi bila kuwalipa stahiki zao.Mkuu kama umesaha walipewa nafasi ya kukata rufaa kama kuna waliofukuzwa kimakosa
Na wapo wenye kasoro kama ulizotaja walikata rufaa na kurudi kazini
Wanatakiwa walipwe stahiki zao zote sio janja janja ambayo serikali inataka kufanya Ili kuwapunja..Walipwe kila kitu walichofanyia kazi kwa muda wote bila chenga, uajiri wa seriakli miaka yote ulikuwa wa ovyo tuu wa kujuana, ukabila na bila kufuata sifa zinazotakiwa
Magufuli alikuwa mwehu yule,angewalipa jasho lao ndio awafukuze vinginevyo wanadai riba na fidia.Ni Mei Mosi ambpo Samia ametoa maagizo haya kuwa walioondolewa kwa vyeti feki enzi za Magufuli walipwe stahiki zao kama mafao ya kustaafu
Je ni sahihi kuwalipa hasa ikizingatiwa walitenda uhalifu kuingia kazini?
Bila kusahau hasara waliyoisababisha kwa kutoa huduma hafifu kutokana na kutokuwa na maarifa yanayotakiwa
Kanjanja hatakiwi ila ukibugi tuu kwa uzembe wako ukamtumia lazima uwalipe hakuna janja janja hapo.Ahsante Magufuli kwa kutuondoshea makanjanja kwenye taasisi za umma.
Huwezi kuwa mwalimu feki unayefundisha watoto wetu! Haiwezekani.
Stahiki pekee mnayostahili ni kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria na kulipa fidia ya madhara mliyosababishia taifa hili.
Je kama walifoji vyeti ili wafanye kazi fulani inayoonekana na walifanya na taifa likafaidika na walichozalisha, hapo inakuwaje?Walitumikia kwa haki wakati walighushi vyeti?
Ni mpumbavu Sana yule Jiwe,kama alikuwa mwanaume kweli Kwa nini hakufukuza hao vyeti feki kwenye vyombo vya dola akatafuta kuwadhulumi wanyonge? Stupid zake.Mkuu na idara nyeti hazikuguswa...
Mungu aendelee mbariki Mama.
Siyo wote walikuwa na vyeti feki kuna hata waliojiendeleza fani tofauti na kufanya cartegorization mfano walimu wa vodafaster waliosomea fani tofauti na kubadilishiwa kazi pia walifukuzwa,je ni sawa?Kwa Haki vipi na cheti FEKI?
Mtwalie mwanao tuone kama ataajiriwa,saizi kila kitu Kiko kwenye mfumo..Maana yake ameruhusu wanafunzi wajitwalie vyeti feki
Je ! Ni sahihi kutowalipa ilhali walikatwa pesa zao na walilitumikia taifa kwa haki!??
Jeshini aliwatoa? Kughushi ni kosa ila ukishamtumia kwenye Kazi ,chetinhakihalalishi dhuluma..Punguza porojo Mkuu,kughushi nyaraka za Jamhuri ni kosa la jinai.Hawa kwa Magufuli aliwasamee,walipaswa kushitakiwa na kufungwa.Kama walikuwa na haki mbona hawakuishitaki serikali?