johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni jambo jema lakini nia hii njema iliyojaa utu izindue mfuko wa hisani wa majanga na matibabu kwa wazee wengine woteMkuu wa Mkoa wa DSM mh Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Well saidNi jambo jema lakini nia hii njema iliyojaa utu izindue mfuko wa hisani wa majanga na matibabu kwa wazee wengine wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja akoKiki za kishamba sana, watengeneze mazingira watanzania wote waweze kupata huduma nzuri.... Hawa watu wamewahi kufika vijijini kweli? Wamefuta bima ya mtoto.... Wakatuwekea ma package ya ghali kweli... Yaani ujinga ujinga tu
Anawaza uchaguzi 2025Umeaguza hivyo ili iweje Mheshimiwa Rais?
Na wazazi wa wengine ambao hawajulikani, na wamezungukwa na lindi la Umasikini wakatibiwe wapi?
Haya maagizo huwa unayatoa kwa kushauriwa na Mtu ama ni utashi wako mwenyewe Mheshimiwa Rais?
Asante.
Mapendo,
TANMO.
Huo mfuko unatafunwa vizuri sn na mafisadiHuku wengine tunapambana na kimbembe cha NHIF ambao kauli mbiu yao ni "Matibabu bora kwa wote" lakini kiuhalisia haiko hivyo. Wameweka vigezo vingi vya kijinga kwa lengo la kuhakikisha watu wengi wanakosa huduma hiyo.
Ni jambo zuri lakini sasa aangalie bima ya afya kwa wote. Kuondoa kifurushi cha watoto ni pigo kubwa kwa raia. Ninwachache watakaomudu kama kina Sia ambao sasa wazazi wanapewa matibabu bure. Mhe umefikiria hawa watoto wa masikini ambao leo wanatakiwa waingie kwenye kifurushi cha wazazi mpaka tzs 1,500,000 kutegemea na idadi ya watoto? Hamna anaelizungumzia hili la bima ya watoto, si wabunge, si wanasiasa, si Serikali.Hayo maamuzi yanaongonzwa na emotions.
Hizo ni ahadi za kitapeli. Mara nyingi ahadi zinazotolewa kwenye misiba huwa zina hisia ya siku husika kwenye msiba, baada ya hiyo simanzi kuisha hakuna utekelezaji wowote. Labda kwa mbali rais angesaini mahali kwenye hiyo ahadi yake. Inshort ni utapeli wa kizamani.Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Pole sana Mzee Msuya, na Rais kafanya jema.Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Hawa wazazi hizo pesa tu za mtoto wao Sia,kumbuka Sia hakuwa na watoto wala mme.So pesa ya mafao ya kazini kwake yote itakwenda kwa wazazi wake.Na ingetosha kuwakatia bima mpaka mwisho wa maisha yao .Hao wazee si choka mbaya.Ni jambo zuri lakini sasa aangalie bima ya afya kwa wote. Kuondoa kifurushi cha watoto ni pigo kubwa kwa raia. Ninwachache watakaomudu kama kina Sia ambao sasa wazazi wanapewa matibabu bure. Mhe umefikiria hawa watoto wa masikini ambao leo wanatakiwa waingie kwenye kifurushi cha wazazi mpaka tzs 1,500,000 kutegemea na idadi ya watoto? Hamna anaelizungumzia hili la bima ya watoto, si wabunge, si wanasiasa, si Serikali.
Mafuta yamepanda tzs 400 kwa lita, dola imepanda dhidi ya shilingi, bidhaa zilishapanda bei zamani.
NHIF wanajua pesa zinakopotelea, posho kwa wajumbe, mishahara, ofisi kila mkoa au wilaya (nyingi wanapanga), magari, mafuta, matengenezo bila kusahau malipo hewa kwa mahospitali (inasemekana)
Sina uhakika kama wanawekeza popote hayo malipo ya wanachama. Tabu tupu