kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Low Iq yaani tuna mayatima wangapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa100 anapenda sana cheap politicsMkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Huyu mama ajitafakari na aache mihemuko! Watanzania wazee wasio na uwezo ni wengi sana hivyo serikali ingeweka utaratibu mzuri ili wote wanufaike na kodi yetu na siyo kutafuta Kiki ya kisiasa kwa kutumia kodi zetu!Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Litakupotezea muda bure hilo jinga la CCMLini umeenda Marekani?
Ni lijinga kweliLitakupotezea muda bure hilo jinga la CCM
Halafu sasa hivi wanahangaika kusumbua wanachama kujihakiki wakati wezi wamo nao ndani.Huo mfuko unatafunwa vizuri sn na mafisadi
Ummy kamwekwa na mafisadi kupiga pesa hapoHalafu sasa hivi wanahangaika kusumbua wanachama kujihakiki wakati wezi wamo nao ndani.
Wameanzisha uhakiki kama mifuko ya jamii inavyofanya kwa wastaafu yani kuna mateso mengi mno sasa unafikiria wazee wa vijijini na wagonjwa wanavyopata tabu na usipojihakiki hulipwi wanaassume umekufa. MBAYA SANA
Nchi ngumu sana hii
Utu wema ni akibaMkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Pia soma: Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki
Ni tunda la Roho!Utu wema ni akiba
Pia ni haki kusema jema analolitenda ili tumpime sambamba na ukosoaji tunaoufanya.Ni tunda la Roho!
Hilo shamba angekuwa amewaachia watoto wapambane nalo sasa na uzee wotw huo nguvu ya kupambana na mashamba anao kweliKwanza huyo Mzee Msuya angerudishiwa shamba lake analo taka Kudhilumiwa na Jiji la Dodoma Kwa kushirikiana Wavamizi ambao Jiji linawalinda kupitia Diwani anayeuza maeneo Nkuhungu
Huyu Mzee shamba alilipata akiwa kijana akiwa DC Leo amestahafu anadhulumiwa haki yake na Uongozi mzima wa Mkoa unashabikia dhuluma ya wananchi wenye miliki Kudhilumiwa na Wavamizi
Ukweli ni Maafisa Ardhi wa Jiji Mabalozi na Diwani ndio wahalifu
R.I.P marehemu na pole kwa wafiwa Mungu awape nguvu na Subira 🙏🙏🙏Mkuu wa Mkoa wa DSM Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa Sana na Vifo vya Wanafamilia 4 waliofariki Kwenye Ajali huko Mbwewe Chalinze.
Chalamila amesema Rais Samia anajua Kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea Watoto wao hawa waliofariki hivyo ameagiza Wazazi hawa Wawe Wanatibiwa kwa huduma ya VIP Class pale Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote za Serikali.
Kadhalika Kesho Ujumbe wa Serikali utatembelea familia Moja Moja.za marehemu hawa kutoa rambirambi rasmi za Serikali.
RIP Sia Msuya na ndugu zako
Pia soma: Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki
Nilitaka kuuliza umeniwahi 🙏Msaada wa mmoja mmoja
Tengenezeni mazingira ya wengi
Ova