Rais Samia aagiza Wazazi waliofiwa na watoto 4 kwenye ajali watibiwe kwa VIP Class Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote nchini!

Kwani Wazee si matibabu ni bure Tanzania nzima!? Na hata Kodi ya jengo wao hawalipi ni bure! Sasa hapa ndiyo sielewi Kama ni kweli matibabu kwa Wazee ni bure!!
 
Kwani Wazee si matibabu ni bure Tanzania nzima!? Na hata Kodi ya jengo wao hawalipi ni bure! Sasa hapa ndiyo sielewi Kama ni kweli matibabu kwa Wazee ni bure!!
Sio kweli mimi hapa ni mzee sijawahi kupewa hata aspirin bure !! Ukienda pale JKCI muhimbili ukionyesha kadi ya wazee utaelekezwa kwenye dawati liko pale utamkuta jamaa atakupiga maswali mpaka utachukia maana ni maswali ya kukudhalilisha !!

Eti unakaa kwenye nyumba au chumba nani anakulipia nani anakupa chakula !!
Yaani maswali ya kumdhalilisha Mzee !!
Bogus kabisa !!
 
Huku ni Ku tafuta Kiki za, kipuuzi, hii ni PR stunt ya kijinga sana, huwezi, Ku tafuta umaarufu kupitia msiba wa watu, kabla ya hapo wala halikuwa hawafahamu sasa kujipemdekeza kwa, ni ni?
Hiyo familia haipo vibaya kiiivyo!
Ni upuuzi, tu,
Yaani maccm akili zao, huwa, sawa,
Kipindi kile jeshi, LA, polisi lilivyomuua mwanafunzi wa ustawi wa jamii kwa risasi, IJP, Siro alienda kijijini kwa wazazi wa yule binti, kutoa rambi rambi, na wakaahidi kumsomesha mdogo wa marehemu!!
Yaani, umeua kwa uzembe, harafu unajikosha kutoa msaada.
 
Akwilina!!!
 
N
I sawa! Ila tumalize ya bandari kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…