Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

Haya mambo mazito sana. Inamaana kumbe hii ripot ya CAG hua ni kutimiza wajibu tu, hili nalo hadi Mama alisemee kwamba waliotajwa kufuja pesa za umma wachukuliwe hatua? Kuna maana gani sasa ya kuwa na hiyo ripoti?
 
Wanawachelewesha Wakamatwe haraka,
 
Mama ni another levels,
 
Sasa wewe JPM aliwachekea nani na hali walikoma paka wakakimbia nchi.

Uchawa uliopitiliza SANA
 
Mkuu nasikia mpaka makofi MTU alipigwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha porojo kijana. Huyo mzee wako wa Lupaso na kijana wake kama wangekuwa na nguvu hizi unazozisema hapa, wasingetangulizwa udongoni kizembe zembe hivi.
Mkuu mm jambo hili nawaza sana, hawa jamaa wamelichezaje picha hilo , ama wametumia gia kubwa ya illuminat,
 
Wapigaji ni network, hata hao wanaoagizwa kuchunguza ni sehemu ya wapigaji. Hii michezo iko miaka nenda miaka rudi. Tutabaki na mwendo huu nenda mbele rudi nyuma.
Kama jeshi letu linaweza kuwa la kizalendo basi linatakiwa kuchukua hatua muafaka.
 
Ondoeni hizi HADITHI za kijinga mtu wenu alikuwa anaumiza wasiomkubali tu hakuwa na lolote
 
Wapuuzi hao watu achana nao wanadhani watz wote ni mabwege
 
Wapigaji ni network, hata hao wanaoagizwa kuchunguza ni sehemu ya wapigaji. Hii michezo iko miaka nenda miaka rudi. Tutabaki na mwendo huu nenda mbele rudi nyuma.
Kama jeshi letu linaweza kuwa la kizalendo basi linatakiwa kuchukua hatua muafaka.
Daaah, Hii kali kwelikweli,
 
 
 
Hakuna jipya, tatizo lipo kwenye mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…