CHECHEMLENDA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2021
- 253
- 344
Sawa mzee. Ngoja tutaarishe bisi na juisi kwa wingiJumatatu kinawaka mzee nimepata taarifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mzee. Ngoja tutaarishe bisi na juisi kwa wingiJumatatu kinawaka mzee nimepata taarifa
Niushamba tu,Hahahahahahahahah
Wanawachelewesha Wakamatwe haraka,Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole,
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa,
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone,
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu,
Mama ni another levels,Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole.
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu
Sasa wewe JPM aliwachekea nani na hali walikoma paka wakakimbia nchi.Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole.
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu
Mkuu nasikia mpaka makofi MTU alipigwaAnaweza? Hili sio suala la masikhara...asipepese macho akiletewa mafaili..haya mafaili yanamajina ambayo lazima usiku ukose usingizi..
vijana walimpima JPM walipompa faili fulani, naye akasema apigwe pingu tu hakuna namna dah wale vijana wakaona hiki kweli chuma ikabidi Mzee wa Lupaso aokoe jahazi, dah sijui ingekuaje leo hii japo naamini ungekuwa ndio mwanzo wa Tanzania waitakao wengi...ile movie mzee wa Lupaso angeicha tu mwisho wake..
Ndyo maana nimesema "nasikia "so atanijibu niliemuuliza kuwa mpoleAlipigwa nani? Wapi?
Nakupata vema mkuu,Ndyo maana nimesema "nasikia "so atanijibu niliemuuliza kuwa mpole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm jambo hili nawaza sana, hawa jamaa wamelichezaje picha hilo , ama wametumia gia kubwa ya illuminat,Acha porojo kijana. Huyo mzee wako wa Lupaso na kijana wake kama wangekuwa na nguvu hizi unazozisema hapa, wasingetangulizwa udongoni kizembe zembe hivi.
Ondoeni hizi HADITHI za kijinga mtu wenu alikuwa anaumiza wasiomkubali tu hakuwa na loloteAnaweza? Hili sio suala la masikhara...asipepese macho akiletewa mafaili..haya mafaili yanamajina ambayo lazima usiku ukose usingizi..
vijana walimpima JPM walipompa faili fulani, naye akasema apigwe pingu tu hakuna namna dah wale vijana wakaona hiki kweli chuma ikabidi Mzee wa Lupaso aokoe jahazi, dah sijui ingekuaje leo hii japo naamini ungekuwa ndio mwanzo wa Tanzania waitakao wengi...ile movie mzee wa Lupaso angeicha tu mwisho wake..
Wapuuzi hao watu achana nao wanadhani watz wote ni mabwegeMnapenda sana kum overrate JPM ila jiulize Makonda na Sabaya wakati wanafanya madudu alikua haoni? Lugola na Nchambi walifungwa? Vipi waliobeba pesa za ESCROW Kwenye masandarusi wapo jela gani? Walioingiza serikali hasara ya matrillion kwenye Tanzanite na dhahabu wapo jela gani? In fact si alimpa Mwanyika ubunge wa Njombe?
JPM alikamata watendaji tu ila hakugusa wanasiasa, otherwise kamati Kuu nzima ya CCM wangekua jela sahivi.
Daaah, Hii kali kwelikweli,Wapigaji ni network, hata hao wanaoagizwa kuchunguza ni sehemu ya wapigaji. Hii michezo iko miaka nenda miaka rudi. Tutabaki na mwendo huu nenda mbele rudi nyuma.
Kama jeshi letu linaweza kuwa la kizalendo basi linatakiwa kuchukua hatua muafaka.
Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole.
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu
Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole.
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu
Hakuna jipya, tatizo lipo kwenye mfumoRais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya...
"Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu tunachekeana tu, na bado waliotajwa kwenye ripoti bado wapo maofisini wanaendeleza wizi,"
==
Ukweli ni kwamba Tanzania sasa kumekucha na Rais ni Jemedari Mkuu Samia Suluhu Hassan
Moto kwa majizi yote ya fedha za umma ni rasmi sasa unawaka na siku zao zinahesabika kwa vidole.
Wale wote waliokuwa wanamchukulia " Poa Mama " sasa wakae mkao wa kunyolewa
Sasa kama ulitajwa na CAG umetafuna cha Umma kaa mguu sawa, Tutaelewana tu ngoja tuone
Ushauri wangu nyie wenye dhamana acheni kugusa pesa ya Umma huyu mama sio Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli aliyewachekea na kuangalia asiowataka tu
Mfumo upi?Hakuna jipya, tatizo lipo kwenye mfumo