Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Aisee, wee jamaaa weweNi wapi amesema ataongeza mshahara?
Lakini hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya mei mosi na jibu likapatikana?We ndo huna akili.
Ungekua umesoma ukaajiriwa ungejua mama anataka nini july
Acha hizJuly huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
Huko Kenya ni mwaka wa Uchaguzi na kuna msuguano sana.Imebidi Rais Kenyatta aongeze mshahara mwezi Mei ili kupunguza nguvu za Kambi ya Ruto kwenye uchaguzi wa Augusti mwaka huu.
Na Wewe ambaye Ni JUHA unafuatilia na kuumia kwa Mambo yasiyo kuhusu.Wafanyakazi washakuwa kama mazuzu, wamepewa ahadi hewa wako wanapongeza
Mwaka uliopita alisema ataongeza, mwaka huu anasema liko jikoni na haijulikani kwA kiwango gani? Bado watu wanashangilia kama sio uzuzu ni nini?
Hakukuwa na upinzani wa kutosha na kwa staili ya utawala uliokuwepo kulikuwa hakuna haja.Mwaka 2020 kwenye May mosi hapa Tz hakukuwa na nyongeza yoyote ya mshahara na ulikuwa mwaka wa uchaguzi. Hapo vipi?
July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
Hesabu za nini?Wakati ulikana kwamba hajasema kuhusu kuongeza mishahara?Lakini hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya mei mosi na jibu likapatikana?
CDm hamnaga zuri! Unataka aweke wazi vitu vipande?July huwa ni siku ya mazishi tu lakini kifo huwa kinatangazwa Mei Mosi. Kama Samia hajasema exactly figure yoyote ya nyongeza ya mishahara hiyo maana yake hakuna nyongeza ya mishahara na mwezi wa saba utafika bila chochote kuongezeka. Mjifunze kukua kiakili.
Mazuzu nyie kwanza msiongezewe mishahara maana hata Kazi mnafanya kizuzu hakuna jipya zaidi ya wizi na uzuzu hamna cha maanaNa Wewe ambaye Ni JUHA unafuatilia na kuumia kwa Mambo yasiyo kuhusu.
Mazuzu nyie kwanza msiongezewe mishahara maana hata Kazi mnafanya kizuzu hakuna jipya zaidi ya wizi na uzuzu hamna cha maana
Ni wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.Hesabu za nini?Wakati ulikana kwamba hajasema kuhusu kuongeza mishahara?
Una roho ya kwanini?Wafanyakazi wakiongezewa mishahara inasaidia jamii yote, kwani purchasing power ikiongezeka itasaidia wafanyabiashara na mzunguko mzima wa pesa.
Mwaka umepita hesabu haijapigwa daaah ni porojo ya Hali ya juuNi wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.
Mm swali langu kwako hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya leo?
Ila alivyosema kila kitu kitapanda, hapo alikua hataki vitu vipande?CDm hamnaga zuri! Unataka aweke wazi vitu vipande?
Hahahaha zuzu kwenye ubora wako
Wewe jamaa una vax kwenye masikio?Amesema lile jambo letu lipo lakini halitakuwa kwenye kiwango kilichopendekezwa na TUCTA. TUCTA wamependekeza kima cha chini kiwe milioni moja.Rais Samia amesema hakitakuwa kwenye kiwango hicho kwa sababu ya changamoto za uchumi.Mwalimu wako alikuwa na kazi sana kukufundisha uelewe.Ni wapi raisi alisema ataongeza? Raisi kasema watapiga hesabu kuona kaamaa inafaa, Ila hajatamka wataongeza.
Mm swali langu kwako hizo hesabu si zingeweza kupigwa kabla ya leo?
Raisi kutamka ataongeza mshahara nalo ni jambo la siri? Mpaka tuanze kutafsiri kauli zake either anamaanisha hivi au vile?Wewe jamaa una vax kwenye masikio?Amesema lile jambo letu lipo lakini halitakuwa kwenye kiwango kilichopendekezwa na TUCTA. TUCTA wamependekeza kima cha chini kiwe milioni moja.Rais Samia amesema hakitakuwa kwenye kiwango hicho kwa sababu ya changamoto za uchumi.Mwalimu wako alikuwa na kazi sana kukufundisha uelewe.
Ukiungua imekula kwenuMzigo upo jikoni unapikwa ndio tunachojua[emoji23][emoji23]