Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

Hivi vyeti feki walitolewa wangapi?, Vipi kuhusu watumishi hewa?, Na ndio maana mwamba alisema wazi haiwezekani miaka yote hii tunalipa wafanyakazi hewa na kazi zinaenda basi tuwatoe hawa hewa na vyeti feki na kisha ndio masuala mengine yaendelee
 
ASANTE Mama Samia. Wakumbuke na wale vijana "Contractors" kule TANESCO wametumika muda mrefu bila ajiria. REA haieleweki.
 
AJIRA ZA NCHI NI KADA 2 TU UALIMU NA UNESI KADA NYINGINE FANYENI UMACHINGA
 
Hakuna Rais atakuja kuvunja rekodi hii..

Mwisho ilitakiwa Ajira 21,000 zingine hasa za Afya zimeenda wapi? Wameajiri elfu 5 badala ya elfu 8 kulikoni?
 
sasa angekuwa kma mama hivi miaka yake mitano bwam yule Vijaja wengi wengekuwa vizur msongamano ungepungua kuliko uliopo saivi, Jiwe alisababisha umasikini endelefu kidogo kwa vijana wa taifa hili,
Kuna wapumbavu wanamsifu 😁😁
 
Hivi vyeti feki walitolewa wangapi?, Vipi kuhusu watumishi hewa?, Na ndio maana mwamba alisema wazi haiwezekani miaka yote hii tunalipa wafanyakazi hewa na kazi zinaenda basi tuwatoe hawa hewa na vyeti feki na kisha ndio masuala mengine yaendelee
Tukusaidiaje au mfuate kaburini maana huelewi hata ulichoandika,kisome uone.
 
Loliondo amechukua wanyama wote Sasa sijui hizo fedha zimekusaidiaje
Amechukua wanyama wote kawapeleka wapi? 🤣🤣🤣🤣

Ndio kwanza Simba na faru wameongezeka..

Mwisho amenisaidia Kwa wadogo zangu kupata Ajira ambazo zilishindikana Kwa Mwendazake..

Sasa wewe ambae ulikuwa unaona hela za Bandari ulinisaisia nini? Uliza swali jingine
 
kesho wanakuja kukuchukua wewe ambayo ni chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…