Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

Hapo wamejumlisha na zile za sensa zilizoisha.

Porojo nyingi sana.

Hamna kitu wanaweza zaidi ya kuwapa Yanga ndege na milioni 5 kwa kila goli.
 
Tafuta kazi ya kufanya. Hii imekushinda, me nashauri wale wanaopigaga makelele na mayowe wakitafuta/kuwataka watu waandamane wawatafute majobless. Mapema tu kinaeleweka mbona, watu wamechoka mtaani hapakaliki
 
sasa angekuwa kma mama hivi miaka yake mitano bwam yule Vijaja wengi wengekuwa vizur msongamano ungepungua kuliko uliopo saivi, Jiwe alisababisha umasikini endelefu kidogo kwa vijana wa taifa hili,
Siyo kidogo, ni sana. Jiwe afe tena huko aliko.
 
18,000 baada ya miaka Saba halafu mnajisifia?
Kwani kwa kipindi Cha dark days Hadi Leo Kuna graduate wangapi?
 
Kunakitu naona hakikosawa alitoa kibali lini kuajiri hidadi hiyo ?naona idadi nindogo ya walioajiriwa kulikotulivyo tangaziwa ufafanuzi hapa unatakiwa
 
Ungejua walioomba nafasi izo walikua zaidi ya laki na sabini na waliopata ni karibu ishirini elfu tu usingeandika huu ushubwada hapa
 
Hao vijana hakuna mwenye ujuzi wa kuendesha Bandari yetu ?
Huko vyuoni Siku hizi vijana wanasomeshwa fani gani ?

Maana naona wengi ni Walimu wa shule za Msingi tu.
 
Vijana wanatakiwa wapewe nchi siyo huko kwenye vitu vingine sijui ualimu ,hiyo ni danganya toto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…