Pre GE2025 Rais Samia aamsha shangwe baada ya kuwalipia tiketi abiria wote waliosafiri kwa treni ya kisasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
UVCCM tupu walijaa, asubuhi nilikuwa pale station
 
Nyuzi za Kisengerema
 
Kwann asiongezee bidii kwa kujitolea na hizo pesa za mfukoni kwake ili kuokoa maisha ya wananchi wake?? Kuliko kulipia nauli watu ambao wana uwezo wa kuandaa safari ili wakashangae treni
Anawalipia kwani hawana hela
 
Kamlete na huyo mtanzania naye aje apande bure ili moyo wako utulie . Mkono wa Rais Samia unamfikia kila mtanzania kwa wakati wake.
Angejikita kwenye kuboresha huduma za afya..nenda kwenye hospital za SERIKALI kajionee..

Huduma za elimu,maji ziboreshwe bila kusahau kikokotoo Cha waastaafu..

Mazingira wezeshi ya uwekezaji kwenye kila sekta za kiuchumi hizo ndizo Zina multiplier effect
 
Wahi buku 7 yako.
 
Machozi yawabubujika abiria na kusema mitano tena kwa mama samia!
 
Niambie ni wapi ambako Rais Samia hajafikisha mkono wake na kugusa maisha ya watu, kwa kuyapatia matumaini na nuru.
Kwahiyo kaka Luca unajizima data huoni kabisaa!! Wananchi wanalalamika dawa hakuna na bima za afya ni changamoto afu wewe unajitoa ufahamu??
 
 
Una*go*ngw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…