Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Waswahili wanasema mkubwa hakoseiNilimsikia samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii inamaana samia anaenda kuwa dikteta kwenye nchi.
Nimatumizi mabaya ya madaraka na ya jeshi la polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
wale pia walio enda mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa raisi na ccm na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzuru kwa kulinda heshima yako
ASIWE TENA NA WAKATI AMESHAKUWANilimsikia samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii inamaana samia anaenda kuwa dikteta kwenye nchi.
Nimatumizi mabaya ya madaraka na ya jeshi la polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
wale pia walio enda mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa raisi na ccm na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzuru kwa kulinda heshima yako
Kauli za Lissu na Heche huzisikilizi unasikiliza za Samia tuu?Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Kikombe cha uovu wake kimejazwa kwa tukio la juzi kilichobakia ni hukumu ya Mungu tu.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Mungu ana ubia kwenye CHADEMA? Huwa mnamtaja sana kam vile ni katibu mwenezi wa chama chenuKikombe cha uovu wake kimejazwa kwa tukio la juzi kilichobakia ni hukumu ya Mungu tu.
UKIKAIDI UTAPIGWA TUNilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Nyamaza wewe muuza K .Mungu ana ubia kwenye CHADEMA? Huwa mnamtaja sana kam vile ni katibu mwenezi wa chama chenu
Wanakaangana wao Kwa wao,Dr Nchimbi huku anawaambia Wana SM waache kuimba wimbo unaochochea Vulugu,yaani wimbo kama wa Idiamini akifa!Mpaka Waambie watu wazima.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Usifikiri kila mtu ni mjinga au muongo kama wewe. Mbona clip zipo nyingi tu Mh.Lissu akisema kua watavuruga uchaguzi.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Sio kweli, huyu amewaachia shamba wavune wanavyotaka, hawezi kuwa mbaya! Atalindwa Kwa nguvu zote!Nyie hamkumsikia Mzee mmoja kule Dodoma wakati akiteuliwa Mzee Kinana kwenye cheo cha Mzee Wasirra
Kwamba aliyepo bado yupo sana labda baadaye mambo yakiharibika?
Kuna watu wanaharibu mambo Kwa makusudi ili kuharakisha mchakato.
Kete zinasukumwa kwa ustadi wa hali ya juu kuelekea kingi
Kasomeni hadithi za Mkuu Tumia akili
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Mama anaogopa kivuli chake .....Reform tunataka usichezeshe maneno....Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Sasa mnakipigania cha niniasisahau amekalia kiti chenye roho ya mauti.