Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,816
- 4,323
Tafuta Hela ndg stress za kumsema Rais wa nchi amesema uongo ni dalili za maisha magumu,jikite kukuza uchumi binafsi na achana na siasa wenzako wakina pambalu,heche ,Lisu ,mnyika wanalipwa wanavyo andamana nk maana wako kazini .Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako