antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Mtashughulikiwa mkijifanya bichwa ngumu
View: https://x.com/bbcswahili/status/1916005585738137848?t=zMsnwj340iq_KE1Jzgv3qA&s=19
Kikundi cha magaidi mwisho wao utafika tu
Mtashughulikiwa mkijifanya bichwa ngumu
View: https://x.com/bbcswahili/status/1916005585738137848?t=zMsnwj340iq_KE1Jzgv3qA&s=19
Kunywa sumuMkuu, hii ni KUFURU!
Lini?Kikundi cha magaidi mwisho wao utafika tu
Kama mtu hakupendi siyo kosa kisheria, hata we ulishangilia kifo Cha Magufuli ulichukuliwa hatua gani?Wale walioimba wapinzani wakifa watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba wamechukuliwa hatua gani?
Sawa kabisa, nchi iliojaa wasomi kibao eti tunaongozwa na kilaza Samia. Aibu kubwa kwa wajinga ccm
Ipo siku na wewe utaingia kwenye sanduku fala weWe bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.
😀😀😀Kuhamasha mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili TUME iwe huru ni kuhamasisha vurugu kwa mujibu wa wanaotaka kuendelea kula. Wala hajasema uongo.
We punguani, huna mamlaka ya kumwita Mh Rais wa nchi ati mwongo, huna adabu kelbu we!! Waliposema wanakwenda kukinukisha kwako unaona ni kwenda kupika biriani sio!!? Hovyo kabisa mbwa nyie.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
The president has lost a CONTROl . She does not know what else to do . The most scariest thing.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Ila yeye anayo adabu ya kugawa mali zetu na kuwapa waarabu ? Anayo adabu ya kujaza familia yake kwenye ofisi za Umma. Wewe ni MJINGAWe punguani, huna mamlaka ya kumwita Mh Rais wa nchi ati mwongo, huna adabu kelbu we!! Waliposema wanakwenda kukinukisha kwako unaona ni kwenda kupika biriani sio!!? Hovyo kabisa mbwa nyie.
Usimbishie,Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Anatuona sisi wananchi ni wajinga.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Nionavyo mimi, tatizo ni hofu waliyo nayo watawala kutokana na maovu waliyoyatenda kwa kipindi chote wakiwa madarakani. Wanawaza ni nini hatima yao na ya wapendwa wao wakiachia madaraka. Ni nini hatima ya mali walizojilimbikizia kwa njia ovu. Hofu hii ni kubwa na inawafanya watake kung’ang’ania madaraka, ikiwezekana hadi waondoke duniani. Na hii si kwa Tz tu bali ni kwa viongozi karibu wote Afrika. Fikiria Paul Biya, Rais wa Cameroon, kakaa madarakani kwa zaidi ya miaka 40 na ametangaza kugombea tena ktk uchaguzi wa Oktoba, akiwa na miaka 92! Na kisichoshangaza kwa Afrika, ana wapambe aka chawa wa kutosha wanaompigia debe.Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?
Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.
Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.
Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.
Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Usifikiri kila mtu ni mjinga au muongo kama wewe. Mbona clip zipo nyingi tu Mh.Lissu akisema kua watavuruga uchaguzi.