PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Kuna kikundi kinamdanganya sana
 
Amezoea kusema uongo hata wakati wa kesi ya mchongo ya Ugaidi ya Mbowe alisema uongo kwenye interview ya BBC kuwa watuhumiwa wenza wa Mbowe wameshahukumiwa kwa Ugaidi. Aibu kubwa sana
 
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
.
 
Attachments

  • GpTPKKjXsAAe32n.jpeg
    GpTPKKjXsAAe32n.jpeg
    82.2 KB · Views: 18
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa
Wewe chumaulete ipo siku na wewe utakufa tu kaa ukijua hilo
 
Uhalisia ni kwamba ‘bi-tozo’ aliwapa CDM uwanja wa kujifaraghua (kwa maneno ya mtaa).

Lissu amemletea dharau na kutumia hiyo fursa kuhamisha uchochezi, kama raisi wa nchi ana kila sababu ya kuonyesha serikali anayo iongoza aitishiwi nyau.

Unaweza lalamika labda nguvu ambazo polisi inatumia kuzuia mikusanyiko ya watu wachache.

Lakini uwezi laumu maamuzi ya serikali kuzuia uhamasishaji wa kijinga.

Sąd ni victim waliotumika kama mfano usijarubu. Lakini hakuna serikali duniani inayoweza tishiwa nyau ikakaa kimya.

Kilichotokea ni shared blame ya CDM na jeshi la polisi kutoelewa kiasi cha nguvu za kutumia given the challenge.

Kuepuka huu upuuzi wa CDM ndio maana Magufuli alizuia mikutano ya hadhara mpaka msimu wa uchaguzi. Raisi Samia na washauri walidhani wanajua zaidi kiko wapi.
 
Serikali lazima ijue kuwa ajenda za upinzani zimepewa nguvu na matukio ya uchaguzi wa 2019/2020 na 2024. Hivyo mnawalaum buree tuu,Sasa unahimizaje na watu kupiga kura wenye kutiliwa shaka hata na watoto wa primary?

Wakati huohuo clips zinavuja watu kujinasibu juu ya uhusika wa kuharibu maamuzi ya wananchi.

Wakati huohuo tena mnawahimiza watu waache shughuli zao wakapange mstari kupiga kura wakati matokeo mnayomfufukoni.

Niwazi kwamba wapinzani wanamapungufu kibao lakin jiulizeni mioyo ya wananchi mnaichukuliaje mnapoiba kura na kujinasibu halafu hadharani?. Afadhari mngekuwa wasiri.
Hivi ukimuibia mtu myonge au kutembea na mke wa mtu halafu akajua na akanyamanza halafu wew mharinifu ukaanza kujisifu unadhani atashindwa hata kukuroga au kukulani???
 
Ila yeye anayo adabu ya kugawa mali zetu na kuwapa waarabu ? Anayo adabu ya kujaza familia yake kwenye ofisi za Umma. Wewe ni MJINGA
Eti kugawa mali!! How pathetic!! Ndio ujinga mnaolishwa na shoga wa wabelgiji!! Ye alitaka bandari iendeshwe na mabwana zake wa ubelgiji!!?
 
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.
Wewe hautakufa wala kufiwa
 
Eti kugawa mali!! How pathetic!! Ndio ujinga mnaolishwa na shoga wa wabelgiji!! Ye alitaka bandari iendeshwe na mabwana zake wa ubelgiji!!?
Hamna wataalam wa kuendesha Bandari ? Kwanini hampeleki watu shule kupata utaalam !

Mnaweza kununua V8 na blah’blah nyingi……ila hamna fedha za kununua Technology ya kuendesha bandari…… pathetic ….

Nitumie tenda iliyotangaza bids juu ya Bandari? Hiyo ni public asset’…. Must be achieved thru competitive bidding….. sio kuwapa mashosti zenu waatabu

Pathetic Muafrica
 
Nyie hamkumsikia Mzee mmoja kule Dodoma wakati akiteuliwa Mzee Kinana kwenye cheo cha Mzee Wasirra

Kwamba aliyepo bado yupo sana labda baadaye mambo yakiharibika?

Kuna watu wanaharibu mambo Kwa makusudi ili kuharakisha mchakato.

Kete zinasukumwa kwa ustadi wa hali ya juu kuelekea kingi

Kasomeni hadithi za Mkuu Tumia akili
Walimu huwa tunasema "Lesson was not well understood by majority of the students so should be re-taught"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbavu km nyie wanauawa.
Intelejensia inayoshidwa kujua pale mkolani mwanza Kuna wanyarwanda wana Nida wana nunua maeneo ya buguku mkolani mnataka yuje tuwe kama Congo 🇨🇩 ila Intelejensia ni kwa Lissu shame on you
 
We bwege jitokeze siku kesi imetajwa tena, safari hii muage kabisa wengine mtarudi kwenye masanduku, mlipanga njama A kufanya uhalifu intelejensia iliwanasa mapema. Kila siku wapumbweavu km nyie wanauawa.
We keimbichi acha maringo ya kipumbavu
 
Hamna wataalam wa kuendesha Bandari ? Kwanini hampeleki watu shule kupata utaalam !

Mnaweza kununua V8 na blah’blah nyingi……ila hamna fedha za kununua Technology ya kuendesha bandari…… pathetic ….

Nitumie tenda iliyotangaza bids juu ya Bandari? Hiyo ni public asset’…. Must be achieved thru competitive bidding….. sio kuwapa mashosti zenu waatabu

Pathetic Muafrica
We kinachokuuma ni uislam tu, baas!
 
Back
Top Bottom