PreGE2025 Rais Samia acha kusema uongo na kukuza mambo. CHADEMA ilihamasisha mabadiliko ya uchaguzi sio vurugu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
Ndo maan mda wowote wakiamua lao sis hatuwezi kulibadili Bali tunalalamika tuu na hamna action yoyote ya maana
 
Na yeye eti amekaza anajifanya uso wa mbuzi mkakisi [emoji1787][emoji1787]
 
Inawezekana washauri wake wanamdanganya. Angetumia ile busara ya Rais Kikwete "Ya kuambiwa changanya na zako".
All in all ni kwamba, Mungu anapotaka kumuangusha mtu anamfanya aingee au kufanya maamuzi yatakayopelekea anguko lake. Mathalan Anguko la Ndugai Mungu lilipowadia, Mungu alimchochea azungumze maneno ambayo yalikuja kumtoa kwenye kiti. Asikiaye na afahamu!.
Ana washauri wajinga na wenye roho mbaya na wenye tamaa ya kuendelea kuzurula ikulu wanamjaza uongo mwingi na kumtia ujasiri uchwara,nadhani ushauri wao mkubwa ni washughulikie wapinzani wakimbie nchi utawale kwa uhuru

Huyu mama hajawai kua upande wa wananchi hada pale wananchi wanaposubili kusikia neno la faraja toka kwa rais yeye lazima aje na mipasho naa kuwakandia na kuwatetea hasa polisi
 
Huyu malaya atatuharibia nchi yetu wallahi. Mahakamani tutaenda sana aongeze risasi nyingi
 
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Lissu aliahidi UASI, hatuwezi kukaa kimya bila kukemea kauli hiyo. UASI ni nini? Ni fujo za kisiasa zinazofanya nchi isitawalike. Hatuwezi kuigeuza nchi yetu kuwa ya vikundi vya waasi kama walivyo M23 na FDRL huko DRC.

Acheni kumuunga mkono huyu mtu alyekufa akarudia kwenye mlango wa kaburi.

Ukibisha kama Tundu hakusema ataanzisha uasi, sema nikuletee LINK ya youtube
 
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Mtashughulikiwa mkijifanya bichwa ngumu

View: https://x.com/bbcswahili/status/1916005585738137848?t=zMsnwj340iq_KE1Jzgv3qA&s=19
 
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
Samia ni janga la Taifa!
 
Huwa nakaa nafikiria: Hivi, mabilioni ya Fedha yaliyotumika kwenye Mabadiliko ya KATIBA yamepotea hivi hivi kabisaaa, au...! Kama Taifa, tunaona sahihi kabisaa, au? Hii siyo vurugu!? Ni vurugu ya kiuchumi na kijamii na hasa kwa waTanzania maskini tulio ktk nchi hii! Siyo HAKI!
Hiyo ndiyo CCM ya Chukua CHako Mapema hata ule mpango wa maono 2025 uliozinduliwa mwaka 2000 umekufa kifo cha mende
Tanzania national development Vision 2025
 
Sio kweli, huyu amewaachia shamba wavune wanavyotaka, hawezi kuwa mbaya! Atalindwa Kwa nguvu zote!
Kama Mungu atatupa kibali cha kuendelea kutumia pumzi yake utakuja kukiri haya

Ngoja deep state iendelee kusukuma kete kuelekea kingi
 
Nilimsikia Rais Samia anasema upinzani umehamasisha vurugu kwa kutaka mabadiliko kwenye uchaguzi sasa kuhamasisha mabadiliko ni vurugu za wapi ?

Ni wazi Samia anakaa anaongea uongo na kukuza mambo ili kukwepa hoja ya kufanya mabadiliko hayo, hii ina maana Samia anaenda kuwa Dikteta kwenye nchi.

Ni matumizi mabaya ya madaraka na ya Jeshi la Polisi kwa kufanya jambo kama hili lenye madai ya uongo.

Wale pia waliokwenda Mahakamani hawakwenda na silaha yoyote wala sio wahalifu, walienda kumuona kiongozi wao kila mmoja anajua sasa nashangaa Rais na CCM na polisi wanasema ni vurugu, kwenda mahakamani imekuwa ni vurugu ya wapi Samia unaenda kuwa dikteta.

Samia unapasww kujiuzulu kwa kulinda heshima yako
kwanza mseme mnataka uchaguzi au hamu utaki ili tujue mnachopambania ni nini maana mnalia lia sana mpk mnakera
 
Ni aibu sana kwa nchi kua na rais kama SAMIA.
 
Samia anavaa ushungi ili kufunika roho mbaya yake
Baba roho mbaya

Sema siasa za bongo kila mwaka wa uchaguzi Lazima kiongozi wa nchi some Kane Ana roho mbaya

Tell me ni mwaka gani presiding president wa nchi hii alionekana Ana roho nzuri?

Tatizo upinzani are using the same technique zilizoasisiwa na ccm kuwajaza na kuwazuga

Put Tanzania first
 
Back
Top Bottom