Astaghifilullah!Matukano tena?🤔Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Huyu mama hana upeo wa kuweza kuongoza nchi.Kamata Tia ndani onyesha makosa yao ova
He he he he Bitozo kaishiwa pumzi. Anarukaruka tuKutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Itachukua tu we mzeeKutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Mbona anatuongoza toka March 19, 2021 na nchi imetulia. Unataka atuongoze kivipi tena?Huyu mama hana upeo wa kuweza kuongoza nchi.
Binti kiziwi anatuongoza hovyo.Mbona anatuongoza toka March 19, 2021 na nchi imetulia. Unataka atuongoze kivipi tena?
Nchi imetulia?Mbona anatuongoza toka March 19, 2021 na nchi imetulia. Unataka atuongoze kivipi tena?
Tanzania imetulia siku zote kwakuwa ni ya makondoo, hata isingekuwa na rais sisi ni wa baridi tu. Kwahiyo hakuna utulivu wowote umeletwa na ubora wa uongozi, bali automatically sisi ni makondoo.Mbona anatuongoza toka March 19, 2021 na nchi imetulia. Unataka atuongoze kivipi tena?
Tunajua wote matusi ni kosa Sasa akamate wanatukana na sheria ifuate mkondoItachukua tu we mzee
Tukana uone
Hivi ili mtu aweze kuongoza nchi inabidi aweje??Huyu mama hana upeo wa kuweza kuongoza nchi.
Ukweli kwa mtu asiye na akili huona ni dharau na matusi!Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Hotuba yake ya leo umetuonyesha yeye ni mtu wa aina gani. Ana jazba, hajiamini, ana Uswahili mwingi na ni mwanamke zaidi kuliko raisKutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Swali dogo hivyo ndiyo uitake tuzo ya Oscar kwa uandishi mrefu hivi?Hivi ili mtu aweze kuongoza nchi inabidi aweje??
Maana wengi wetu humu hata kuniongoza wenyewe hatuwezi, kuongoza mahusiano ya wawili tuu hatuwezi, kuongoza familia ni shida.
Kujikomboa kiuchumi kwaajili yetu wenyewe shidaa.
Kujiajiri tuu shida, kushirikiana na jamii katika masuala mbalimbali ngumu mno.
Tukikosolewa na mtu weee unaweza hata ukatamani umuue.. Na hatukubali hata kushauriwa.
Ila ndio sisi sisi tunaouchambua uchumi wa nchi, chambua viongozi sijui kashindwa au kafeli au hawezi kitu.
Wengine tunakosoa kwa lugha chafu zisizo na staha zenye kuudhi na kutia hasira..
Halafu tunataka tunaemkosea au kumkosoa ajibu Amina maana yeye ni Malaika ana moyo wa upepo.
Ila akithubutu kutujibu nongwa na matusi, kejeli, dharau na kusema hakutakiwa kusema hivi wala vile.
Tunamtaka Rais au kiongozi yeyote avumilie chochote anachoambiwa ila sisi humu humu kwenye jukwaa hatuvumiani.
Ole wako uwe na mtazamo au maoni tofauti au ushauri utakula matusi mpaka utamani kuua mtu...
Tunitathimini sana sana, tujikague sana mioyoni mwetu kama sisi ni wakamilifu kuliko hao tunao washambulia kila siku.
Mimi huwa napenda kukosoa kwenye mambo ambayo mimi nimefanikiwa vizuri..
Utasikia Serikali ibuni vyanzo vipya vya mapato wakati anayesema hivyo yeye mwenyewe hana hata chanzo chochote cha mapato, hajui hata abuni nini mamskini. Kachapwa na maisha na kachapika haswaa.
Huwa siwapendi kabisa watawala wetu lakini huwa nachukia zaidi kuwashambulia kwa kufuata mikumbo tuu na vishawishi vya kisiasa.
Nchi yetu hii ukiwatazama hata hao wakosoaji yaani hadi unacheka.
KUKOSOA NDIO KAZI RAHISI KULIKO ZOTE DUNIANI NDIO MAANA WAJINGA WOTE HUJAZANA KWENYE SEKTA HIYO.