Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinga kabisa wewe. Shule za kukariri hivi zina mambo! Eti unakosoa mambo ambayo umefanikiwa tu? Hivi mtu kutoweza kuwa rais ndiyo ukae kimya hata kama mambo yanaenda vibaya?Hivi ili mtu aweze kuongoza nchi inabidi aweje??
Maana wengi wetu humu hata kuniongoza wenyewe hatuwezi, kuongoza mahusiano ya wawili tuu hatuwezi, kuongoza familia ni shida...
Eeheee umesema nini jinga kabisaaa nadhani umenielewa.. Hatupo tayari kukosolewa ila sisi tunataka ndio tuwe wakosoaji tuu na matusi juuu.Jinga kabisa wewe. Shule za kukariri hivi zina mambo! Eti unakosoa mambo ambayo umefanikiwa tu? Hivi mtu kutoweza kuwa rais ndiyo ukae kimya hata kama mambo yanaenda vibaya? Hujui ile nafasi ni rasmi kwa watu wenye uwezo? Mbana watu wanakosoa makocha, wachezaji japo hawajahi kufundisha au kucheza mpira? Inahitaji akili za ziada kujua kitu fulani kinakwenda mrama? Sijawahi kuona upotora kama huu tangu mwaka huu uanze.
You are just idiot. Eti unataka watu wakosoe vitu wanavyoweza kuvifanya tu. Kama siyo upumbavu uliopitiliza ni nini? Mjinga kama huyo unayemtetea.Eeheee umesema nini jinga kabisaaa nadhani umenielewa.. Hatupo tayari kukosolewa ila sisi tunataka ndio tuwe wakosoaji tuu na matusi juuu.
Hatupo tayari kuvumilia maoni tofauti na yetu ila tunataka wengine wavumilie tuu
Ni maajabu makubwa na ndio kizazi kilichojaa Tanzania upeo finyu mno halafu tunataka tusikilizwe wakati sisi hatupo tayari kusikiliza.
Kama humu mijadala ingekuwa ni ya hoja nzito bila matusi, kejeli, dharau ina maana hata hao rulers wangejifunza mengi humu lakini humu imekuwa ni kusanyiko la watu waliopaswa kwanza kupata matibabu ya kiakili zaidi.
Hebu Fikiria hapo ulipo silaha yako kuu ni matusi.. Na unajivunia na kuitumia haswaa
JE UNGEKUWA NA MAMLAKA KAMA RAIS UNGEUA WANGAPI???
MAANA YEYOTE AMBAYE ANGETOFAUTIANA NA WEWE AU KUKUKOSOA UNGEMMALIZA HARAKA MAANA SILAHA, NGUVU, MAMLAKA NA AMRI ZIPO MIKONONI MWAKO.
NADHANI UMEJIFUNZA KITU KWA NAMNA ULIVYONIJIBU......
MKUKI KWA NGURUWE ILA KWA BINADAMU UCHUNGU.
Umeendeleaa umeniita idiot kwa una ji prove mwenye wewe kichwa chako kipo... Ni matusi tuu ndio yaliyokujaa kichwani na ndio yalioujaza moyo wako, na ndio maisha yako ya kila siku..You are just idiot. Eti unataka watu wakosoe vitu wanavyoweza kuvifanya tu. Kama siyo upumbavu uliopitiliza ni nini? Mjinga kama huyo unayemtetea.
Narudia tena. Wewe ni idiot kwa sababu umeendelea kung'ang'ania kuwa hukosoi kitu ambacho huwezi kukifanya. Sasa mimi nakuuliza: Hii dunia watu wangekuwa wanafuata principle yako maendeleo yangepatikana? Kama siyo upumbavu ni nini?Umeendeleaa umeniita idiot kwa una ji prove mwenye wewe kichwa chako kipo... Ni matusi tuu ndio yaliyokujaa kichwani na ndio yalioujaza moyo wako, na ndio maisha yako ya kila siku..
Sasa mbona unamlaumu Rais kwa lipi kama wewe mwenyewe unajithibitishia mwenyewe ndio upo hivyoo.
Kwa nini unataka Rais akuvumilie wakati wewe humu kwenye jukwaa huru hatujuani wa hatufahamiani lakini ushatukana matusi yote hayo.
Kesho na keshokutwa unakuja kugundua kumbe ni jirani yako tena unayemuheshimu, ndugu, jamaa, imani au kuja kuwa rafiki na mtu muhimu sana katika maisha yako au kazi, biashara na mengineyo.
Kuna haja gani ya kumtukana mtu usie mjua kabisa kwa sababu hawazi kama wewe???
Ni kipimo kipi unachotumia kupima fikra na mawazo yako kuwa ndio sahihi na wote wayafuate otherwise???
What if huko mbele ukija kugundua wewe ndio hujui kitu kabisa utajuta, utaomba msamaha kwa Mungu wako kama unaye?
Mbona sinatukana mtu wewe nini kinachokufanya utukane??
Hebu fikiria hiyo style yako ya matusi na ujuaji inashawishi wengi wakuunge mkono au wengi wanakuona kama insane.
Humu kuna watu wengi wengi sana maelfu na malaki lakini wapo kimya unadhani kwa nini??
Je mitizamo yao unaijua?? Ni kwa nini Watukanaji ingawa ni wachache lakini ndio wanao komenti mara nyingi humu???
Jiuze why??
Kwa taarifa yako walio kimya ndio wenye Akili, Ufahamu, ujuzi, Elimu na Maarifa kuliko wewe.
Ukikuta topic imejaa waropokaji wengi jua werevu wamekaa kimya kwa dharau.
Wewe ndio unawakilisha akili za hao unao watetea je kuna siku watakuja kuaminika na majority kweli.
Okay usijali ndugu mimi nipo okay nimeiva kimalezi na kimaadili, kielimu na kimaarifa, kiupeo na kiufahamu.. Nimeiva kiimani pia hivyo HATA UNITUKANE KIASI GANI MOYO WANGU UNA AMANI TELE. NAJUA KUPOKEA NA KUNYANG'ANYWA, KUPATA NA KUKOSA, KUTUBU NA KUSAMEHE.
AMANI YA BWANA IWE NAWE.
Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.Narudia tena. Wewe ni idiot kwa sababu umeendelea kung'ang'ania kuwa hukosoi kitu ambacho huwezi kukifanya. Sasa mimi nakuuliza: Hii dunia watu wangekuwa wanafuata principle yako maendeleo yangepatikana? Kama siyo upumbavu ni nini?
Mwenyezi Mungu ni mwema na mwenye huruma nyakati zote.. Atakutakasa kinywa cha kabla ya saa ya Mwisho wa maisha yako. Amina.Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
Kwani kumwita mtu stupid ni kumtukana?Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupoteza muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ninishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Wewe ni mpumbavu halafu ukielimshwa hutaki kuelimika. Unanitishia kwa kuandika maneno kwa herufi kubwa? Jinga kubwa wewe! Ndiyo unajua kuna kufa leo? Usikapoka ujinga ulioandika kuwa mtu akitaka kukosoa jambo ni lazima awe na uwezo wa kulifanya utaendelea kuwa jinga kubwa. Halafu wewe ni wale watu wanafki wanaojufanya kufuata dini kumbe ni wadhambi wakubwa. Sijawahi kuona jitu kubwa na pumbavu kama wewe.Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
Anadai yeye kalelewaBinti kiziwi anatuongoza hovyo.
Jifunze kumtofautisha rais wa nchi na raia wa kawaida.Inaonekana hujui rais ni mtu wa namna gani.Hivi ili mtu aweze kuongoza nchi inabidi aweje??
Maana wengi wetu humu hata kuniongoza wenyewe hatuwezi, kuongoza mahusiano ya wawili tuu hatuwezi, kuongoza familia ni shida.
Kujikomboa kiuchumi kwaajili yetu wenyewe shidaa.
Kujiajiri tuu shida, kushirikiana na jamii katika masuala mbalimbali ngumu mno.
Tukikosolewa na mtu weee unaweza hata ukatamani umuue.. Na hatukubali hata kushauriwa.
Ila ndio sisi sisi tunaouchambua uchumi wa nchi, chambua viongozi sijui kashindwa au kafeli au hawezi kitu.
Wengine tunakosoa kwa lugha chafu zisizo na staha zenye kuudhi na kutia hasira..
Halafu tunataka tunaemkosea au kumkosoa ajibu Amina maana yeye ni Malaika ana moyo wa upepo.
Ila akithubutu kutujibu nongwa na matusi, kejeli, dharau na kusema hakutakiwa kusema hivi wala vile.
Tunamtaka Rais au kiongozi yeyote avumilie chochote anachoambiwa ila sisi humu humu kwenye jukwaa hatuvumiani.
Ole wako uwe na mtazamo au maoni tofauti au ushauri utakula matusi mpaka utamani kuua mtu...
Tunitathimini sana sana, tujikague sana mioyoni mwetu kama sisi ni wakamilifu kuliko hao tunao washambulia kila siku.
Mimi huwa napenda kukosoa kwenye mambo ambayo mimi nimefanikiwa vizuri..
Utasikia Serikali ibuni vyanzo vipya vya mapato wakati anayesema hivyo yeye mwenyewe hana hata chanzo chochote cha mapato, hajui hata abuni nini mamskini. Kachapwa na maisha na kachapika haswaa.
Huwa siwapendi kabisa watawala wetu lakini huwa nachukia zaidi kuwashambulia kwa kufuata mikumbo tuu na vishawishi vya kisiasa.
Nchi yetu hii ukiwatazama hata hao wakosoaji yaani hadi unacheka.
KUKOSOA NDIO KAZI RAHISI KULIKO ZOTE DUNIANI NDIO MAANA WAJINGA WOTE HUJAZANA KWENYE SEKTA HIYO.
Ili umuelewe mama, uelewe saikolojia ya jinsia. Bora wewe huna jinsia.Kutukana ni kosa kisheria. Yeyote anayetukana ama kwenye mkutano wa hadhara au nyumbani kwake, ametenda kosa.
Sasa inashangaza rais anatupotezea muda kwa kulalamika, eti Kuna watu wanatukana. Rais analalamika?
Hii ni ishara ya rais kukosa hoja.
View attachment 2746068
Mwite majina yote ila ndiye Rais wako hadi 2030. Mzoee tu usijepata shinikizo la damuBinti kiziwi anatuongoza hovyo.
Imetulia sana kasoro kelele za Mwabukusi, Mdude, Lissu na SlaaNchi imetulia?
Kwa hiyo na wewe unamtamani DHALIMU afufuke arudi kwenye kiti chake?Tanzania imetulia siku zote kwakuwa ni ya makondoo, hata isingekuwa na rais sisi ni wa baridi tu. Kwahiyo hakuna utulivu wowote umeletwa na ubora wa uongozi, bali automatically sisi ni makondoo.
Mama Samia anachomekea anatukanwa maana siku hizi huo ndio utetezi wa CCM wanapopewa ukweli mchungu. Na sababu hasa ya kuona wanatukanwa ni huu mtindo wa chawa kumsifia rais kinafiki, analewa sifa hadi akiambiwa ukweli anasema ni kutukanwa. Nakumbuka kipindi cha dhalimu hili neno kutukanwa lilitumika sana ili kuhadaa umma.