Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

Siasa zimekuwa za moto sana
 
Hivi ili mtu aweze kuongoza nchi inabidi aweje??
Maana wengi wetu humu hata kuniongoza wenyewe hatuwezi, kuongoza mahusiano ya wawili tuu hatuwezi, kuongoza familia ni shida...
Jinga kabisa wewe. Shule za kukariri hivi zina mambo! Eti unakosoa mambo ambayo umefanikiwa tu? Hivi mtu kutoweza kuwa rais ndiyo ukae kimya hata kama mambo yanaenda vibaya?

Hujui ile nafasi ni rasmi kwa watu wenye uwezo? Mbana watu wanakosoa makocha, wachezaji japo hawajahi kufundisha au kucheza mpira?

Inahitaji akili za ziada kujua kitu fulani kinakwenda mrama? Sijawahi kuona upotora kama huu tangu mwaka huu uanze.
 
"Hatujaruhusu mikutano", hii kauli kwa sheria ya vyama vingi haipo sahihi...

"Unthinking respect for authority is the greatest enemy of truth." Albert Einstein
 
Eeheee umesema nini jinga kabisaaa nadhani umenielewa.. Hatupo tayari kukosolewa ila sisi tunataka ndio tuwe wakosoaji tuu na matusi juuu.
Hatupo tayari kuvumilia maoni tofauti na yetu ila tunataka wengine wavumilie tuu

Ni maajabu makubwa na ndio kizazi kilichojaa Tanzania upeo finyu mno halafu tunataka tusikilizwe wakati sisi hatupo tayari kusikiliza.

Kama humu mijadala ingekuwa ni ya hoja nzito bila matusi, kejeli, dharau ina maana hata hao rulers wangejifunza mengi humu lakini humu imekuwa ni kusanyiko la watu waliopaswa kwanza kupata matibabu ya kiakili zaidi.

Hebu Fikiria hapo ulipo silaha yako kuu ni matusi.. Na unajivunia na kuitumia haswaa
JE UNGEKUWA NA MAMLAKA KAMA RAIS UNGEUA WANGAPI???

MAANA YEYOTE AMBAYE ANGETOFAUTIANA NA WEWE AU KUKUKOSOA UNGEMMALIZA HARAKA MAANA SILAHA, NGUVU, MAMLAKA NA AMRI ZIPO MIKONONI MWAKO.

NADHANI UMEJIFUNZA KITU KWA NAMNA ULIVYONIJIBU......
MKUKI KWA NGURUWE ILA KWA BINADAMU UCHUNGU.
 
You are just idiot. Eti unataka watu wakosoe vitu wanavyoweza kuvifanya tu. Kama siyo upumbavu uliopitiliza ni nini? Mjinga kama huyo unayemtetea.
 
Sasa mama yuko mahala pagumu zaidi yeye na CCM yake!
 
You are just idiot. Eti unataka watu wakosoe vitu wanavyoweza kuvifanya tu. Kama siyo upumbavu uliopitiliza ni nini? Mjinga kama huyo unayemtetea.
Umeendeleaa umeniita idiot kwa una ji prove mwenye wewe kichwa chako kipo... Ni matusi tuu ndio yaliyokujaa kichwani na ndio yalioujaza moyo wako, na ndio maisha yako ya kila siku..

Sasa mbona unamlaumu Rais kwa lipi kama wewe mwenyewe unajithibitishia mwenyewe ndio upo hivyoo.

Kwa nini unataka Rais akuvumilie wakati wewe humu kwenye jukwaa huru hatujuani wa hatufahamiani lakini ushatukana matusi yote hayo.

Kesho na keshokutwa unakuja kugundua kumbe ni jirani yako tena unayemuheshimu, ndugu, jamaa, imani au kuja kuwa rafiki na mtu muhimu sana katika maisha yako au kazi, biashara na mengineyo.

Kuna haja gani ya kumtukana mtu usie mjua kabisa kwa sababu hawazi kama wewe???

Ni kipimo kipi unachotumia kupima fikra na mawazo yako kuwa ndio sahihi na wote wayafuate otherwise???

What if huko mbele ukija kugundua wewe ndio hujui kitu kabisa utajuta, utaomba msamaha kwa Mungu wako kama unaye?

Mbona sinatukana mtu wewe nini kinachokufanya utukane??

Hebu fikiria hiyo style yako ya matusi na ujuaji inashawishi wengi wakuunge mkono au wengi wanakuona kama insane.

Humu kuna watu wengi wengi sana maelfu na malaki lakini wapo kimya unadhani kwa nini??

Je mitizamo yao unaijua?? Ni kwa nini Watukanaji ingawa ni wachache lakini ndio wanao komenti mara nyingi humu???

Jiuze why??

Kwa taarifa yako walio kimya ndio wenye Akili, Ufahamu, ujuzi, Elimu na Maarifa kuliko wewe.

Ukikuta topic imejaa waropokaji wengi jua werevu wamekaa kimya kwa dharau.

Wewe ndio unawakilisha akili za hao unao watetea je kuna siku watakuja kuaminika na majority kweli.

Okay usijali ndugu mimi nipo okay nimeiva kimalezi na kimaadili, kielimu na kimaarifa, kiupeo na kiufahamu.. Nimeiva kiimani pia hivyo HATA UNITUKANE KIASI GANI MOYO WANGU UNA AMANI TELE. NAJUA KUPOKEA NA KUNYANG'ANYWA, KUPATA NA KUKOSA, KUTUBU NA KUSAMEHE.

AMANI YA BWANA IWE NAWE.
 
Narudia tena. Wewe ni idiot kwa sababu umeendelea kung'ang'ania kuwa hukosoi kitu ambacho huwezi kukifanya. Sasa mimi nakuuliza: Hii dunia watu wangekuwa wanafuata principle yako maendeleo yangepatikana? Kama siyo upumbavu ni nini?
 
Matusi? Mbona chama chake kina wanaojua kutukana kisawasaw, na wale chawa wana kazi gani? Kama wale wanatukana wajibiwe matusi yao. Kina kingu wanajua kazi hiyo
 
Narudia tena. Wewe ni idiot kwa sababu umeendelea kung'ang'ania kuwa hukosoi kitu ambacho huwezi kukifanya. Sasa mimi nakuuliza: Hii dunia watu wangekuwa wanafuata principle yako maendeleo yangepatikana? Kama siyo upumbavu ni nini?
Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
 
Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
Mwenyezi Mungu ni mwema na mwenye huruma nyakati zote.. Atakutakasa kinywa cha kabla ya saa ya Mwisho wa maisha yako. Amina.
 
Kwani kumwita mtu stupid ni kumtukana?
 
Ndivyo ulivyo na unapaswa kuwa hivyo, kwa sababu upo hivyo na nakuhakikishia wakati wa kufa kwako NENO LA MWISHO UNAPOKATA ROHO LITAKUWA NI TUSI na utakumbukwa na waliobaki kwa hilo.
Wewe ni mpumbavu halafu ukielimshwa hutaki kuelimika. Unanitishia kwa kuandika maneno kwa herufi kubwa? Jinga kubwa wewe! Ndiyo unajua kuna kufa leo? Usikapoka ujinga ulioandika kuwa mtu akitaka kukosoa jambo ni lazima awe na uwezo wa kulifanya utaendelea kuwa jinga kubwa. Halafu wewe ni wale watu wanafki wanaojufanya kufuata dini kumbe ni wadhambi wakubwa. Sijawahi kuona jitu kubwa na pumbavu kama wewe.
 
Nikwasababu ni Raisi tu ila hotuba yake pumba tupu.
 
Jifunze kumtofautisha rais wa nchi na raia wa kawaida.Inaonekana hujui rais ni mtu wa namna gani.
 
Ili umuelewe mama, uelewe saikolojia ya jinsia. Bora wewe huna jinsia.
 
Kwa hiyo na wewe unamtamani DHALIMU afufuke arudi kwenye kiti chake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…