Rais Samia acha kutafuta chaka la kujifichia. Anayetukana sheria ichukue mkondo wake

nashangaa sheria zipo wazi, Sasa malalamiko ya nn! mkuu wa nchi unalalamika inashangaza.
Kuna wakati hata referee wa chandimu anaweza kumuita mchezaji na kumwambia "oya Madenge unacheza rafu sana hebu jirekebishe".Kama kweli wanasiasa wanatukana majukwaani sidhani kama ni kosa kwa Rais kuonya kwa njia hii.
Tukusoane kwa heshima na siyo matusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…