Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii



Nafikiri unaishi mtaani
 


Hapo kwenye picha tuu ndio ulipoharibu Mkuu.

Kwingine uko sawa
 
Hii ngoja tukaipost kwenye instagram account yake maana naona kakomalia kitu hakiwezekani....kila kukicha oooh wanaume bila sisi wasingekuwapo yumewazaa sisi...mbegu wanatoaga wapi??
Aachane na hii hoja haimjengi bali inambomoa...kuna mambo ya msingi ya yeye kufanya sio kupiga ngumi ukutani...
 
Mama anajua Nchi bado iko na wajinga wengi watamuunga mkono

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 


Kama watahitaji Uanaume basi wasikatae na Mateso yake
 
Keshaanzisha vita baridi...mke wangu hamkubali kabisa na mie ndio najazia hapo hapo namkandia anazidi kumkataa...bi mkubwa wangu hamuelewi kabisa...
 


Upo sahihi kabisa
 


πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

We jamaa unanifurahishaga kweli.

Mimi nafikiri hii ni ishu ndogo tuu, mbona kwingine Yuko vizuri tuu mkuu
 
Hayupo vizuri sehemu yoyote ile.Tunapaswa tumpumzishe mara moja.

Mimi namuona kama Rais Mzuri anayeenda kuwa bora kama ataachana na kujiona duni kwa jinsia yake.

Huoni tangu aingie hata kuandika makala zinazomkosa Rais kwangu ni kama zimepungua, ni kutokana naona hakuna mapungufu makubwa yanayodhuru na kuumiza watu
 
Kwa wale waumini wenye imani juu ya uwepo wa Mungu Muumbaji, basi hutambua bayana kuwa mwanamke aliumbwa kwa kusudi kuwa ni msaidizi wa mwanaume. Kwa mantiki hiyo hakuna hakuna haki sawa kati yao kupitia majukumu waliyopewa na Muumba wao.

Kwa kupitia maandiko matakatifu tunapata maarifa ya kwamba, mara baada ya wanadamu wa kwanza kuanguka dhambini na kufukuzwa katika bustani ya Edeni, walipewa majukumu ya kudumu. Mwanaume alipewa jukumu la kufanya kazi kupitia nguvu zake ili aweze kuishi na kuitunza familia yake, bali mwanamke alipewa majukumu ya nyumbani ikiwemo la kuzaa na kuongea uzao wa wanadamu.

Kwa si jambo jema kwa mtu kusimama mbele za viongozi wa kidini na kuwahubiria kuhusu kile kinachokinzana na ukweli juu imani ambayo wanayopaswa kuizingatia.

For the believers, GOD's truth will always prevail no matter how is perceived by human beings. Such truth might be not practical and relevant within human mind, but that is a reality itself.
 
Mtoa mada ananitia moyo kuona bado Tanzania tuna watu wana hekma na busara. kwa sasa hali ni mbaya katika taasisi hii ya familia na mahusiano. chanzo ni kuhamishwa kwa kanuni za malezi kijamii na kidini. tunatembelea upepo wowote unaovuma hasa huu wa teknolojia na utandawazi. Tuko katika zama ambazo aliyeharibikiwa nae anakuwa mzazi! Zama ambazo aliyepinda ndo anapewa dhamana ya kuelekeza. kipofu anamuongoza kipofu!

Hata hivyo ili wanawake warudi kwenye asili yao sharti wanaume wajirudishie uanaume wao katika kuwajibika! Ukweli ni kwamba wanaume ndo tumepwaya sasa wanawake wana njaa na kiu wanapambana kutoka kwenye cage. Wanaume weng wameamua kwa hiari yao kujigeuza wanawake bila kubadili viungo. "Shida, njaa na ubaya havina jinsia na havizoeleki!"
 


Umenena vyema Mkuu
 


Mwanaume hawezi kuwajibika ikiwa tayari mamlaka yake imechukuliwa au kawapa WANAWAKE.

Hata MUNGU, hawezi kuwajibika na maisha ya binadamu wakati tayari binadamu keshabeba/kajipa majukumu ya mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…