Umepimaje?..hasa ukizingatia ana post graduate ya credible university na masters ya outUwezo wa Hangaya kuchakata mambo mdogo sana. Hangaya kuwa hata VP lilikua tusi baya sana kwa watz matokeo yake ndo haya.
Nahisi hapo kwenye kutosikiliza watu ndio tatizo lake kubwa. Halafu anaona ni sifa nzuri kujiita chura kiziwi!Samia yupi unaeongea nae?Huyu lazima awepo kwenye baraza la mawaziri.
Unaharibu credibility yako,ulionekana critical huko nyumaUmeandika hoja yenye mashiko. Shida iliyoko kwa huyo mama yeni ni kuzungukwa na washauri vilaza na wasio na maono! Nakuhakikishia kama kiburi na dharau zitaendelea dhidi ya CHADEMA, wafuasi wake na viongozi wake! basi maafa siku zijazo yatakuwa ni makubwa zaidi.
Ni ujinga mkubwa sana mpaka leo kuna watu wanaamini kwamba ccm pekee ndiyo ina haki ya kuitawala hii nchi hata kama wananchi walio wengi wameichoka!
Haya maandamano na mauaji yaliyo tokea, yamesababishwa kwa asilimia kubwa na viongozi wa wa ccm!
Hoja zote walizotoa CHADEMA zina mashiko!
1. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi, ambayo wasimamizi wake wote wanateuliwa na mgombea wa ccm!
2. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo mara zote imekuwa ikiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani tu kutokana na kasoro mbalimbali.
3. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowazuia mawakala wa vyama kuwepo kwenye vituo vya kupigia kura.
4. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo inapiga marufuku wagombea na mawakala wao kukusanya takwimu za matokeo kutoka vituoni.
5. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowategemea walimu na watumishi wengine wa serikali iliyoko madarakani kusimamia uchaguzi.
6. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayopika matokeo hadharani.
7. Hatuwezi kuwa na uchaguzi unaombeba mgombea mmoja tu wa chama tawala kupitia vyombo vya habari, mahakama, msajili wa vyama vya siasa, nk.
All in all, mapungufu ni mengi. Na yasipofanyiwa kazi kwa haraka, basi mbele ya safari balaa itakuwa ni kubwa zaidi. Ombi langu kwa watawala ni kwamba; waache kuishi na pia kuiendesha nchi kwa mazoea. Dunia imebadilika! Na uelewa pia wa watu umeongezeka sana.
Alisikiliza vizuri,akawa mtu wa maridhiano,toa mbowe gerezani,ruhusu mikutano..ghafla mkapata kichaaNahisi hapo kwenye kutosikiliza watu ndio tatizo lake kubwa. Halafu anaona ni sifa nzuri kujiita chura kiziwi!
Umepimaje?..hasa ukizingatia ana post graduate ya credible university na masters ya out
SAYNGAYAcha majungu wewe,watu mna roho mbaya hadi mnajamba kutu
๐ฎAlisikiliza vizuri,akawa mtu wa maridhiano,toa mbowe gerezani,ruhusu mikutano..ghafla mkapata kichaa