Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

Pigs and dogs can eat their own offspring’s if they are hungry, not humans.

Samia can be compared to pigs and dogs, they have no conscience to distinguish where they belong!

She is not our kind
 
Samia yupi unaeongea nae?Huyu lazima awepo kwenye baraza la mawaziri.
Ni ushauri tu hata kama hataufuata, lakini TISS wapo humu tunaandika ili wajue tatizo lilipotokea
 
Umeandika hoja yenye mashiko. Shida iliyoko kwa huyo mama yeni ni kuzungukwa na washauri vilaza na wasio na maono! Nakuhakikishia kama kiburi na dharau zitaendelea dhidi ya CHADEMA, wafuasi wake na viongozi wake! basi maafa siku zijazo yatakuwa ni makubwa zaidi.

Ni ujinga mkubwa sana mpaka leo kuna watu wanaamini kwamba ccm pekee ndiyo ina haki ya kuitawala hii nchi hata kama wananchi walio wengi wameichoka!

Haya maandamano na mauaji yaliyo tokea, yamesababishwa kwa asilimia kubwa na viongozi wa wa ccm!
Hoja zote walizotoa CHADEMA zina mashiko!
1. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi, ambayo wasimamizi wake wote wanateuliwa na mgombea wa ccm!

2. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo mara zote imekuwa ikiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani tu kutokana na kasoro mbalimbali.

3. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowazuia mawakala wa vyama kuwepo kwenye vituo vya kupigia kura.

4. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo inapiga marufuku wagombea na mawakala wao kukusanya takwimu za matokeo kutoka vituoni.

5. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowategemea walimu na watumishi wengine wa serikali iliyoko madarakani kusimamia uchaguzi.

6. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayopika matokeo hadharani.

7. Hatuwezi kuwa na uchaguzi unaombeba mgombea mmoja tu wa chama tawala kupitia; vyombo vya habari, vitisho, rushwa za wazi, mahakama, msajili wa vyama vya siasa, nk.

All in all, mapungufu ni mengi. Na yasipofanyiwa kazi kwa haraka, basi mbele ya safari balaa litakuwa ni kubwa zaidi. Ombi langu kwa watawala ni kwamba; waache kuishi na pia kuiendesha nchi kwa mazoea. Dunia imebadilika! Na uelewa pia wa watu umeongezeka sana.
Nakubaliana 💯% na wewe hiyo ndiyo blue print
 
Pigs and dogs can eat their own offspring’s if they are hungry, not humans.

Samia can be compared to pigs and dogs, they have no conscience to distinguish where they belong!

She is not our kind
Umepigaje hapo misondo misondo?
 
Huyu Mchengerwa katolewa TAMISEMI na kupelekwa Afya. Nashukuru maoni yangu yamezingatiwa.

Anyway asingekuwa mkwewe angemuacha kabisa, maana Mchengerwa ndiye aliyeharibu uchaguzi wa S/Mitaa mwaka 2024
 
Huyu Mchengerwa katolewa TAMISEMI na kupelekwa Afya. Nashukuru maoni yangu yamezingatiwa.

Anyway asingekuwa mkwewe angemuacha kabisa, maana Mchengerwa ndiye aliyeharibu uchaguzi wa S/Mitaa mwaka 2024
Kapelekwa huko huko afya ili akasaidie vizuri kuficha zile maiti zilizopotea kimazingara
 
Back
Top Bottom