Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,999
- 7,928
NoKua na IQ bila kua na EQ ni kazi bure
😂😂😂No
Emotional intelligence goes together with intelligence quotient
Samia has low IQ therefore she doesn’t have emotional intelligence. No regrets no remorse!
How do you compare? Pigs, No conscience
Nakubaliana 💯% na wewe hiyo ndiyo blue printUmeandika hoja yenye mashiko. Shida iliyoko kwa huyo mama yeni ni kuzungukwa na washauri vilaza na wasio na maono! Nakuhakikishia kama kiburi na dharau zitaendelea dhidi ya CHADEMA, wafuasi wake na viongozi wake! basi maafa siku zijazo yatakuwa ni makubwa zaidi.
Ni ujinga mkubwa sana mpaka leo kuna watu wanaamini kwamba ccm pekee ndiyo ina haki ya kuitawala hii nchi hata kama wananchi walio wengi wameichoka!
Haya maandamano na mauaji yaliyo tokea, yamesababishwa kwa asilimia kubwa na viongozi wa wa ccm!
Hoja zote walizotoa CHADEMA zina mashiko!
1. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi, ambayo wasimamizi wake wote wanateuliwa na mgombea wa ccm!
2. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo mara zote imekuwa ikiwaengua wagombea wa vyama vya upinzani tu kutokana na kasoro mbalimbali.
3. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowazuia mawakala wa vyama kuwepo kwenye vituo vya kupigia kura.
4. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi ambayo inapiga marufuku wagombea na mawakala wao kukusanya takwimu za matokeo kutoka vituoni.
5. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayowategemea walimu na watumishi wengine wa serikali iliyoko madarakani kusimamia uchaguzi.
6. Hatuwezi kuwa na tume huru ya uchaguzi inayopika matokeo hadharani.
7. Hatuwezi kuwa na uchaguzi unaombeba mgombea mmoja tu wa chama tawala kupitia; vyombo vya habari, vitisho, rushwa za wazi, mahakama, msajili wa vyama vya siasa, nk.
All in all, mapungufu ni mengi. Na yasipofanyiwa kazi kwa haraka, basi mbele ya safari balaa litakuwa ni kubwa zaidi. Ombi langu kwa watawala ni kwamba; waache kuishi na pia kuiendesha nchi kwa mazoea. Dunia imebadilika! Na uelewa pia wa watu umeongezeka sana.
Kwani yeye ana akili sasa!?Kazungukwa na watu Bogus sana
Kapelekwa huko huko afya ili akasaidie vizuri kuficha zile maiti zilizopotea kimazingaraHuyu Mchengerwa katolewa TAMISEMI na kupelekwa Afya. Nashukuru maoni yangu yamezingatiwa.
Anyway asingekuwa mkwewe angemuacha kabisa, maana Mchengerwa ndiye aliyeharibu uchaguzi wa S/Mitaa mwaka 2024