Mama ana maanisha kua, penye wazuri,wabaya pia wapo! Sasa wote kwa pamoja tushirikiane kuwachomoa wale wote wabaya kwenye Mahakama zetu za chini au za juu,ila hasahasa Mama alizilenga sana Mahakama za chini. Na ni kweli Mahakama za chini zina uchafu mwingwi, Watumishi wajanja wamezigeuza kua vituo vyao vya upigaji huku wakiminya haki za watu wasiokua na uwezo wa kununua huduma zao!!!Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.
Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa tu. Miaka yote 7 kwenye kiti hicho hajafanya REFORM yoyote ya Mahakama. Je nini kufanyike kupunguza matatizo ya Mahakama?View attachment 2633301
Sina uhakika sana kwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani. Lakini huku kwa Mahakimu wa Mahakama za Hakimu Mkazi hadi Mahakama za Mwanzo, RUSHWA ndiyo mhimili wa HAKIKufuatia kauli ya Mhe. Rais nimejiuliza;
Hivi kweli inawezejana Jaji/Majaji wakala rushwa?!!! Maana tunavyo jua katika mahakama Majaji ndio wanao lipwa mishahara minono, wanapewa nyumba ya kuishi, wanapewa gari na pia Wana pewa Mlinzi n.k, sasa inawezekanaje Tena watu hao wakala rushwa?!!!
Kama wapo wanao pindisha haki kwasababu ya rushwa basi hao wanapaswa watolewe mara moja hawafai.
POWER HIERACHY YA TANZANIAJana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.
Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa tu. Miaka yote 7 kwenye kiti hicho hajafanya REFORM yoyote ya Mahakama. Je nini kufanyike kupunguza matatizo ya Mahakama?View attachment 2633301
Kwani yule aliye pindisha kesi ya kule Lindi ni Jaji au Hakimu?Sina uhakika sana kwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani. Lakini huku kwa Mahakimu wa Mahakama za Hakimu Mkazi hadi Mahakama za Mwanzo, RUSHWA ndiyo mhimili wa HAKI
Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.
Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa tu. Miaka yote 7 kwenye kiti hicho hajafanya REFORM yoyote ya Mahakama. Je nini kufanyike kupunguza matatizo ya Mahakama?View attachment 2633301
Kwa jinsi wananchi wenye hasira kali tunavyo kuwaga seriously na mambo yetu tukiwapa vibano waharifu naona mahakama ipo chini yetu haina hadhi ya kutuzidi sisi.POWER HIERACHY YA TANZANIA
1. CCM
2. EXECUTIVES
3. BUNGE
4. MAHAKAMA
5. CHAWA
6. WANANCHI
Ngoja nizamie kwenye www.tanzlii.com nitafute hukumu za Prof Juma, CJ nione kama zina mashikoJaji mkuu kilaza kuliko wote waliowahi kutokea.
Mtu mmoja hawezi kuleta mageuzi. Sana sana atajitengenezea maadui.Kwani huyu Profesa Ibrahim Juma anastaafu lini? Pengine ni wakati wa kupata Jaji Mkuu mwingine atakayeleta mageuzi
Kuyatatua ni katiba mpya ,ili mihimili kuwa huru basi na hakuna njia nyingineJana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"
Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.
Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa tu. Miaka yote 7 kwenye kiti hicho hajafanya REFORM yoyote ya Mahakama. Je nini kufanyike kupunguza matatizo ya Mahakama?View attachment 2633301
Katiba mpya siyo hiari bali ni takwa la lazimaKuyatatua ni katiba mpya ,ili mihimili kuwa huru basi na hakuna njia nyingine