Yego mlaunu
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 234
- 269
Si tukajua mahakamani ndipo sehemu ya mwisho ya upatikanaji wa haki,kumbe hata Rais nae anaweza kutoa hukumu kwa maelezo yako?Kwani yule aliye pindisha kesi ya kule Lindi ni Jaji au Hakimu?
Maana Mhe. Rais alisema Jaji alienda kutizama na akaamua kuwa wafugaji hawana makosa wakati ukweli ni kwamba kulikuwa na makosa kwa mujibu wa maelezo ya RC
Kwa kauli ya Mhe. Rais inaonyesha wazi kuwa aliye pindisha haki alikuwa Jaji.
Ndio maana nimejiuliza, inakuwaje Jaji apindishe haki?!!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app