Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

Mageuzi ya Mahakama kuhakikisha urasimu unapungua nanhaki inatolewa kwa wanachi
Ndg yangu, Mahakamani watu wazuri wapo,na watu wabaya wapo humo humo kwenye Majengo ya Mahakama, ni kumuwomba Mungu tu akukutanishe na Watumishi wema wa Mahakama na haki yako utaipata bila ya kutumia nguvu kubwa sana na muda mrefu Kama tulivyozowea!!
 
Kweli Majaji na Mahakimu wazuri wanaotenda haki wapo, shida ni vile huna uwezo wa kujipangia
 
Jana akiapisha Majaji aliowateua kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani, Rais Samia alisema "Kuna Tatizo Mahakama"

Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u-CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.

Huyu CJ ukimfuatilia siku zote ni mtu wa kulalamika kama mtuhumiwa tu. Miaka yote 7 kwenye kiti hicho hajafanya REFORM yoyote ya Mahakama. Je nini kufanyike kupunguza matatizo ya Mahakama?View attachment 2633301
Matatizo yako kwa hawa wafuatao na mamlaka iliyojichimbia mizizi inatakiwa kuwaondosha mara moja ili kuokoa haki za watu
1. Jaji mkuu
2. Mwanasheria mkuu wa serikali-huyu kawatesa sana akina Mdude, Mwabhukusi, Slaa, Sabaya na hata Makonda kwa wakati fulani GSM alipofungua madai ya nyumba

Kuna jaji fulani wa kike wakati aliwahi kukosoa namna jaji mkuu alivyorejeshwa kwenye nafasi ambayo muda wake uliisha bila kuzingatia taratibu huyu anafaa sana kuwa jaji mkuu wa Tanzania watu wengi watapata haki zao.

Mahakama, polisi, na wizara nyingi kuna miungu watu ambako HAKI za wananchi zinapora kwa mianya ya ufundi wa kisheria.
 
Jaji Mkuu Prof Ibrahim Juma anaweza akawa mwalimu mzuri wa masomo ya sheria Chuo Kikuu, lakini kusimamia mhimili ameonyesha udhaifu wa hali ya juu.
 
Kwani huyu Profesa Ibrahim Juma anastaafu lini? Pengine ni wakati wa kupata Jaji Mkuu mwingine atakayeleta mageuzi
Ukitaka jaji mwingine lzm ujue majaji waliomtangulia Profesa Ibrahim Juma walifanya nn ili kuwa na matarajio ya mbeleni,na kama hakuna mabadiliko yaliuofanywa basi katiba mpya ni ya muhimu sana.
 
Nani mwenye mamlaka ya kutambua rufaa zenye mashiko,na zile rufaa zisizo na mashiko!!?? Na Je rufaa isiyo na mashiko unaijuawaje kabla haijafanyiwa maamuzi!!??
Hakimu au jaji wa mahakama,mara nyingi ni mbinu ya kuchelewesha makusudi hasa za madai!
 
Ingekua vizuri kuwepo sheria ya adhabu kali saaana kwa jaji anae pokea rushwa au kupindisha haki
 
Hapo ndipo kichaka ambapo Majaji na Mahakimu wanapojifichia. Maana anaharibu kesi makusudi halafu mwishoni anasema "aliyeshindwa ana haki ya kukata rufaa"
 
Matatizo yako kwa hawa wafuatao na mamlaka iliyojichimbia mizizi inatakiwa kuwaondosha mara moja ili kuokoa haki za watu
1. Jaji mkuu
2. Mwanasheria mkuu wa serikali-huyu kawatesa sana akina Mdude, Mwabhukusi, Slaa, Sabaya na hata Makonda kwa wakati fulani GSM alipofungua madai ya nyumba

Kuna jaji fulani wa kike wakati aliwahi kukosoa namna jaji mkuu alivyorejeshwa kwenye nafasi ambayo muda wake uliisha bila kuzingatia taratibu huyu anafaa sana kuwa jaji mkuu wa Tanzania watu wengi watapata haki zao.

Mahakama, polisi, na wizara nyingi kuna miungu watu ambako HAKI za wananchi zinapora kwa mianya ya ufundi wa kisheria.
Jaji Mkuu ame overstay as such amepita hata kiwango chake cha incompetence
 
Ukitaka jaji mwingine lzm ujue majaji waliomtangulia Profesa Ibrahim Juma walifanya nn ili kuwa na matarajio ya mbeleni,na kama hakuna mabadiliko yaliuofanywa basi katiba mpya ni ya muhimu sana.
Key word Katiba Mpya. Tunaona namna Judiciary Kenya inavyo uhenyesha mhimili wa Executive
 
Sina uhakika sana kwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani. Lakini huku kwa Mahakimu wa Mahakama za Hakimu Mkazi hadi Mahakama za Mwanzo, RUSHWA ndiyo mhimili wa HAKI
Hata Mahakama Kuu kuna UOZO mtupu. Kuna hukumu ukizisoma hata kama hukuwepo kwenye proceedings za hearing unaona kabisa Jaji anapotoka katika maamuzi.

Wanapokea Rushwa na MAELEKEZO pia kutoka juu.

Mpaka sasa hivi kwa uzoefu wangu Majaji waliokuwa wanafuata haki ni wafuatao; Samatta, Mwalusanya, Lugakingira, Makame na Augustino Ramadhani.
 
Back
Top Bottom