Rais Samia Adai Mahakama Ina Matatizo: Je Ni Nani wa Kuyatatua

Si tukajua mahakamani ndipo sehemu ya mwisho ya upatikanaji wa haki,kumbe hata Rais nae anaweza kutoa hukumu kwa maelezo yako?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika sana kwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani. Lakini huku kwa Mahakimu wa Mahakama za Hakimu Mkazi hadi Mahakama za Mwanzo, RUSHWA ndiyo mhimili wa HAKI
Huko juu kwa majaji kuna rushwa kubwa kubwa hasa, zaid8 zinaanzia 50m kupanda juu.
 
Mahakama ziangalie rufaa zisizokuwa na mashiko!Hasa zenye lengo la kupoteza Wakati.
 
Huko juu kwa majaji kuna rushwa kubwa kubwa hasa, zaid8 zinaanzia 50m kupanda juu.
Mungu Waangu mbona unanitisha tena! Maana soon napelekwa huko kwa Majaji! Lakini naamini hicho kitu hakiwezekani,labda kwenye kesi za Biashara kubwa kubwa,na wenyewe Wana Mahakama zao,tena ziko very nazifu kuliko hizi zetu za kugombea Aridhi na Mirathi!!!
 
Mahakama ziangalie rufaa zisizokuwa na mashiko!Hasa zenye lengo la kupoteza Wakati.
Mwisho wa siku Sheria inasema Rufaa ni haki yako kikatiba! Sasa jukumu la kuchujaa sababu za rufaa ni Mahakama wenyewe!!
 
Tangu walipoanza kushirikiana na vyombo vya ccm kubambika watu kesi mahakama imekosa heshim.kabisa.
 
Ada ya asiyejua la kufanya ni kulalamika kuwa watu wengine ndio wanaofanya ashindwe; huwa hapambani na tatizo head on.
 
Nina haki kusema, Abinafsishe Mahakama na Bandari...

Kuna tatizo na CCM, sio katiba, sio Wananchi, Sio Bunge, Sio Mahakama na wala Muundo au mfumo wa Kiserikali.

CCM imeamua kufuata mfumo wa kioligarch.

Chagua kwa uangalifu 2025
na kama unataka mapinduzi ndani ya CCM haraka kama alivyofanya J.M Kikwete unasubiri nini? 2025 sio mbali.
 
Nani mwenye mamlaka ya kutambua rufaa zenye mashiko,na zile rufaa zisizo na mashiko!!?? Na Je rufaa isiyo na mashiko unaijuawaje kabla haijafanyiwa maamuzi!!??
Huyo Kimwakaleli msamehe tu ameandika kitukuyu tukuyu
 
Naunga mkono hoja, hili nami nililisema Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki?
P
 
MAJAJI WA CCM LAZIMA KUWE NA MATATIZO JAJI ANAGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…